MSICHANA: Kuanzia leo nitakwita Adam
MVULANA: Kwa nini?
MSICHANA: Kwa sababu wewe ndie mwanamume wangu wa mwanzo
MVULANA: Kwa hivyo mimi kuanzia leo nitakuita Peugeot
MSICHANA: Kwa nini?
MVULANA: Kwa sababu wewe ni wa 506.