Mazungumzo baina ya Mzungu na dereva tksi.

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Mzungu alishuka toka Ulaya, akapanda teksi ili kwenda hotelini kwa mapumziko. Wakiwa kwenye foleni, dereva teksi akatoa hewa chafu, hewa hiyo chafu ikadumu takribani saa moja.
Dereva akamuuliza Mzungu, je unaonaje hali ya hewa ya DSM?
Mzungu: muda si mrefu itashuka mvua ya MAVI...
 
Back
Top Bottom