Mazungumzo Baada ya Habari - Toleo Jipya

Mazungumzo Baada ya Habari - Toleo Jipya

Kiwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
1,054
Reaction score
995
Kuna njama za kuhujumu utu na uhuru wa mtanzania daima dumu
Njama hizi si ndogo, ni kubwa
Na zinatekelezwa usiku na mchana na mabepari
Udhalimu wa mabepari hao kamwe hauwezi kufanikiwa
Bila ya kuwatumia watanzania wenzetu limbukeni wachache
Wenye tamaa za ukubwa
Na uroho wa utajiri wa haraka haraka
Limbukeni hao ni lazima tuwakomeshe
Ili tusihujumiwe tena

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom