Mazoezi ya JWTZ yashtua Bandarini!

niliona muvumenti zisizo za kawaida pale dock nikiwa upande wa pili halafu bdae ndo nikasikia kuna meli ina utata nikastuka mno.

enewei kama ni mazoezai basi na wakome kabisa
 
..kama ni mazoezi wangefanyia bandari ya Mtwara ambayo haiko busy kama hii ya DSM.

..huwezi kusimamisha kazi na muda wa watu kwa ajili ya kufanya mazoezi ya kivita.

..kama walikuwa wanafanya mazoezi ya EVACUATION hiyo ingeeleweka. pia watumishi na wateja wa bandari wangepaswa kuwa sehemu ya zoezi hilo.

NB:

..nitasikitika sana kama tumeanza kuwa uchochoro wa silaha za kivita za Uganda.

..wakati wa vita vya DRC zilipitishwa silaha nyingi sana na Rwanda na Uganda na ndiyo zimekwenda kuivuruga DRC na kuua mamilioni ya watu. halafu tunaingia gharama ya kuwapatanisha na kupokea wakimbizi.
 
Back
Top Bottom