Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,146
- 33,021
Duh, hapo ndio unajiona umeandika bonge la Kiingereza. Kilaaza mkubwa... .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that its
Walimwaga damu kutoa wakoloni weupe..na sisi tunataka tuwatoe wakoloni weusi..Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.
Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
Jifariji. Lakini nakuhakikishia hamtoboi, na ndo mwisho karata yenu,Hii mbinuu ni ya ovyio imepitwa na wakati kuliko mailezo ,uende kwa bahati mbaya sana utawala huu umejaa washamba kibao.hakuna tafsiri zaidi dhidi yao .subiri utaona jogoo Washamba awiki mjini .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that its
Ni jambo la kipuuzi na hovyo duniani kushabikia wazee wa kubadili gear angani, bure kabisa.NI laana kubwa kuishabikiaaa chichiem
You new born baby go back to school .Uhuru Wa nchi uligombewa na waingereza kwa maslahi yao binafsi .Nyerere akiwakilisha watanganyika akauchukua kwenye meza ya mazungumzo .hakuna damu iliyomwagika .labda sasa Mwenyekiti Wa ccm asimamie umwagikaji Wa damu .kama kweli Anaamini anakwenda kuikomboa nchi ,ila Sijui ni kutoka kwa nani !!!???Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.
Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
Nani alimwaga damu?Mnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.
Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
CCM bila dola hakuna kitu kabisa!! Kila siku CHADEMA wanatukanwa majukwaani lakini hawaendi kusemelea kokote, wao kusema tu kuwa wanafanya maandamano na mikutano basi imekuwa heka heka nchi nzima!!
Hata historia ya vita vya Maji Maji huijui. Ngojea tarehe moja ugongwe gongwe kichwani ili fahamu irudi.You new born baby go back to school .Uhuru Wa nchi uligombewa na waingereza kwa maslahi yao binafsi .Nyerere akiwakilisha watanganyika akauchukua kwenye meza ya mazungumzo .hakuna damu iliyomwagika .labda sasa Mwenyekiti Wa ccm asimamie umwagikaji Wa damu .kama kweli Anaamini anakwenda kuikomboa nchi ,ila Sijui ni kutoka kwa nani !!!???
SIGNATURE YAKO HAIENDANI NA MAWAZO YAKO FINYUMnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.
Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
Sio mdogo .halafu mbaya Huyo bwana Alisha ombewa na Tb Joshua .means atakuwa mlokole .kwa kweli mpaka hapo napata picha ukiokoka ukirudia dhambi mapepo yanarudi Mara sabini ya yaliokuwepo mwanzo,sio bure anatuomba tumuombee kila kukicha .I am total sure now we fight a total evil power house .vinginevyo sioni kwanini anazuia watu kumsaidia kuvumbua majipu ili ayatumbue .Mimi mpaka hapa Nina wasi wasi mkubwa sijawahi kuwa nao maishani mwangu .haswa ukizingatia huyu raia ni Wa umri wangu,Eeee Mungu tureheemuu.na wapenda amani na Maendeleo wote waseme .AminaNimeamini pasi na shaka udikteta umetia tanzania, tumepata idi amin wetu
magufuli hawezi kukaa mezani na genge la vibaka.You new born baby go back to school .Uhuru Wa nchi uligombewa na waingereza kwa maslahi yao binafsi .Nyerere akiwakilisha watanganyika akauchukua kwenye meza ya mazungumzo .hakuna damu iliyomwagika .labda sasa Mwenyekiti Wa ccm asimamie umwagikaji Wa damu .kama kweli Anaamini anakwenda kuikomboa nchi ,ila Sijui ni kutoka kwa nani !!!???
Nimeona vijana wamevaa miwani ya kuchomelea mageiti..
Walaa ni wewe tuu,dhaifu genge la ngeli unacheza na maneno tuu !!!??? Fikra dhaifu kama yai .mgonjwa kwanza wewe etiii !!!???Duh, hapo ndio unajiona umeandika bonge la Kiingereza. Kilaaza mkubwa.
its=it'sHii mbinuu ni ya ovyio imepitwa na wakati kuliko mailezo ,uende kwa bahati mbaya sana utawala huu umejaa washamba kibao.hakuna tafsiri zaidi dhidi yao .subiri utaona jogoo Washamba awiki mjini .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that its