Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Kazi kwenu wazee wa Ukuta
Hio miwani utakua umevaa weweNimeona vijana wamevaa miwani ya kuchomelea mageiti..
Ni hisia zako tuNimeamini pasi na shaka udikteta umetia tanzania, tumepata idi amin wetu
Lugha zenu umesahau?CCM bila dola hakuna kitu kabisa!! Kila siku CHADEMA wanatukanwa majukwaani lakini hawaendi kusemelea kokote, wao kusema kuwa anafanya maandamano na mikutano basi imekuwa heka heka nchi nzima!!
Najua habari hii imekuvunja moyo, lakini ndo ukweli halisi.Habar haina tija ,cjayaona hata jayo mazoezi yenyewe wanayosema magumu ITV na wenyewe cjui wamekosa habar cku hizi hata cwaelewag habar zao hazna hata mvuto,,,,mchakamchaka ndo maazoez magumu sasa,,,,!!!!!