Kaingilia Kati hapo....
Umeona hakujiandaa kabisa mana ana ndala mguuni
Kaingilia Kati hapo....
A.alaykum mkwe....
Sijambo mkwe. Hajambo??
Umeona hakujiandaa kabisa mana ana ndala mguuni
Wakati mwingine sio hata kula, kuna pregnancy, hypothyroidsm na mengine mengi, unahumuka kama maandazi hauwezi kuamini.
Kwa hiyo ndo unanitangazia kama me ni kimbaumbau au hahaha?
Ukifanya mazoezi ukipungua tu hapo nakupeleka shopping my dada...!
Anhaaaa unataka kuoa kama huyo? Kuanzania leo kila siku mazoezi
Mke mwenzie miss neddy ananiweka bussy sana
Hahaha naelewa mkwe....soon ntakusaidia...
Hahahaha mashallah mwambie me ndo napenda ivo