Nilikua sijui kumbe Tz tuna Makombora ya Masafa Marefu?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Nimeona kwenye hii habari kuwa Tz ina makombora ya masafa marefu na masafa ya kati

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali John Mkunda amefunga mazoezi ya kijeshi Brigedi ya Faru, yaliyohusisha makombora ya masafa ya kati na masafa marefu, yakitambulika kwa jina la ‘Kaa tayari,’ ambayo yalikuwa na askari zaidi ya elfu moja.

Kwa majuma mawili, askari wa miguu wa JWTZ wamekuwa katika Pori la Hifadhi ya Msitu Nyahua wilayani Sikonge - Tabora wakifanya mazoezi ya matumizi ya silaha za moto, ambazo ni makombora ya masafa ya kati na yale masafa marefu, huku wakitembea kwa miguu umbali wa zaidi ya kilometa 100 usiku na mchana bila kujali mvua wala jua, wakivuka mito, milima na mabonde kuonesha ukakamavu.

Jenerali Mkunda amesema Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaendelea kuboresha vikosi vyake kwa mazoezi pamoja na kuvipatia vifaa vya kisasa zaidi…mkakati unaolenga kukabiliana na vitisho vinavyondelea kujitokeza kwa nchi mbalimbali duniani.

#AzamTVUpdates
 
Ndio,Makombora ya masafa marefu yanaanzia target ya kilomita 100 na kuendelea na ya kati ni chini ya hapo..

Sio Tanzania tu,nchi nyingi zina makombora ya masafa marefu.Makombora ya masafa marefu sio lazima yawe Hypersonic missiles yanaweza yakawa na spidi ndogo lakini kutokana na kupiga target ya mbali yanaweza yakaitwa ni makombora ya masafa marefu...
 
Duuuuh nilijua ni kama yale wanayomiliki Urusi, China, Marekani,Uingereza na Korea ya kaskazini

Only 100 km?
 
Kombora la masafa marefu linarushwa linaenda dondokea miguuni kwa mrusha kombora😂😂
 
Duuuuh nilijua ni kama yale wanayomiliki Urusi, China, Marekani,Uingereza na Korea ya kaskazini

Only 100 km?
Hapo imekaa hivi kuna cruise missiles na intercontinental ballistic missile..
kama wanazomiliki USA na nchi ulizotaja hapo nyingi ni Ballistic missiles ingawa pia wanakuwa na cruise missiles..

Hizo zote zinaitwa makombora ya masafa marefu ambapo tofauti yake ni ufanisi na gharama pamoja na Range ya mwisho ambayo inaweza kutarget..kwa mfano Ballistic missiles zina uwezo wa kupiga kilometa hadi 5000 wakati cruise missiles sina uhakika ila nahisi zinarange target ya kuanzia 100 hadi 50,ingawa kuanzia 300 ni uhakika na ni facts wajuvi watanisahihisha

Hizo ballistic missiles zina uwezo wa kubeba nuclear warheads na zina spidi pamoja na maneuver ya hatari sana tofauti na cruise missiles..
Cruise missiles zinaweza kurushwa kwa kutumia meli za kivita,magari vita n.k..

Tanzania nadhani tuna cruise missiles mwaka fulani tulionyeshwaga za kutoka China (A100) kwenye maonyesho
 
Ndio,Makombora ya masafa marefu yanaanzia target ya kilomita 100 na kuendelea na ya kati ni chini ya hapo..

Sio Tanzania tu,nchi nyingi zina makombora ya masafa marefu.Makombora ya masafa marefu sio lazima yawe Hypersonic missiles yanaweza yakawa na spidi ndogo lakini kutokana na kupiga target ya mbali yanaweza yakaitwa ni makombora ya masafa marefu...
Mkuu Kilometa 100 ata Dar to Moro yanafika kweli? Si hapo Chalinze tu.
 
Sina uhakika sanaa ila kuanzia mia na kitu! Sina uhakika ni 100 au 300! Niliwah kusoma sehemu hii kitu sasa sijajua which km exactly! Wajuvi watakuja kutuelewesha zaidi
 
Hapo imekaa hivi kuna cruise missiles na intercontinental ballistic missile..
kama wanazomiliki USA na nchi ulizotaja hapo nyingi ni Ballistic missiles ingawa pia wanakuwa na cruise missiles..

Hizo zote zinaitwa makombora ya masafa marefu ambapo tofauti yake ni ufanisi na gharama pamoja na Range ya mwisho ambayo inaweza kutarget..kwa mfano Ballistic missiles zina uwezo wa kupiga kilometa hadi 5000 wakati cruise missiles sina uhakika ila nahisi zinarange target ya kuanzia 100 hadi 50,ingawa kuanzia 300 ni uhakika na ni facts wajuvi watanisahihisha

Hizo ballistic missiles zina uwezo wa kubeba nuclear warheads na zina spidi pamoja na maneuver ya hatari sana tofauti na cruise missiles..
Cruise missiles zinaweza kurushwa kwa kutumia meli za kivita,magari vita n.k..

Tanzania nadhani tuna cruise missiles mwaka fulani tulionyeshwaga za kutoka China (A100) kwenye maonyesho
Asante kwa uchambuzi nzuri sana
 
Makombora yamegawanyika katika makundi mawili kama ulivyoanisha yapo ya ballistic pia ya cruise yana sifa tofauti katika upigaji wake.

Haya makombora ya ballistic yanarushwa kisha yanafuata kanuni za mwendo wa projectile (trajectory) kuweza kufikisha warhead katika lengo ( Target).

Yamegawanyika katika makundi yafuatayo

1. Yanakwenda masafa ya karibu (Short Range Ballistic Missiles) yanakwenda hadi 300 miles (480 km).

2. Masafa ya kati (Medium Range Ballistic Missiles) yanaweza kwenda kwa 300 to 600 miles (480 to 965 km)

3.Inter midiate Range Ballistic Missiles yanapiga kwa 600 to 3,300 miles (965 to 5,310 km)

Pia

5. Makombora yanayoweza kupiga bara hadi bara (Inter Continental Ballistic Missiles yanakwenda zaidi ya 3,300 miles…

Aina nyingine ni cruise missiles ni kombora linaloongozwa linalotumiwa dhidi ya shabaha za nchi kavu au za majini, ambalo hubaki angani na kuruka sehemu kubwa ya njia yake kwa takriban kasi isiyobadilika. Makombora ya cruise yameundwa kupeleka warhead kubwa kwa umbali mrefu kwa usahihi wa juu. Makombora ya kisasa ya baharini yana uwezo wa kusafiri kwa mwendo wa kasi wa chini sana (subsonic speed), wa hali ya juu (supersonic speed), au juu zaidi (hypersonic speed), yanakwenda yenyewe kwa kufuata kanuni za ki aerodynamics, na yanaweza kuruka kwa njia isiyo ya kiballistic, vile vile yana uwezo wa kupita chini sana.

Kiswahili chake sahihi kabisa ni MAKOMBORA MATIIFU.
 
Mmmhh itakuwa mikwara tu kuwatisha wafanyabiashara wasiweke mgomo.
 
Hapo imekaa hivi kuna cruise missiles na intercontinental ballistic missile..
kama wanazomiliki USA na nchi ulizotaja hapo nyingi ni Ballistic missiles ingawa pia wanakuwa na cruise missiles..

Hizo zote zinaitwa makombora ya masafa marefu ambapo tofauti yake ni ufanisi na gharama pamoja na Range ya mwisho ambayo inaweza kutarget..kwa mfano Ballistic missiles zina uwezo wa kupiga kilometa hadi 5000 wakati cruise missiles sina uhakika ila nahisi zinarange target ya kuanzia 100 hadi 50,ingawa kuanzia 300 ni uhakika na ni facts wajuvi watanisahihisha

Hizo ballistic missiles zina uwezo wa kubeba nuclear warheads na zina spidi pamoja na maneuver ya hatari sana tofauti na cruise missiles..
Cruise missiles zinaweza kurushwa kwa kutumia meli za kivita,magari vita n.k..

Tanzania nadhani tuna cruise missiles mwaka fulani tulionyeshwaga za kutoka China (A100) kwenye maonyesho
Hivyo basi CRUISE MISSILES ndiyo makombora ambayo yana uwezo wa kuji maneuver vizuri kabisa kwasababu hata utengenezaji wake unaangaliwa zaidi sifa za ki aerodynamics kuweka vitu kama tail fins pia rudder.

Ila

Ballistic Missiles yenyewe yanaanza kuondoka kwa injini za rocket mwanzoni kabisa (initial phase) kulisukuma kwenda juu kisha baadae linaanza kufuata mwendo wa projectile (trajectory) na huwa linashuka kwa gravity tu hadi katika lengo (target)....
 
Makombora yetu cha muhimu yaweze kuwafikia majirani zetu tu. Potentially hao ndio watu pekee tunaoweza kuingia nao kwenye migogoro ya kupelekea kurushiana makombora.

Kama linafika Lilongwe basi hilo ni la masafa marefu 😁.

Wenzetu Marekani wanapigana na kila mtu duniani, makombora yao ya masafa marefu yanaizunguka dunia nzima.
 
Sawa wanayo Lakini tunahitaji jeshi letu liwe na watu wenye taaluma mbalimbali ili baadae na sisi tuuenda makombora yetu wenyewe i
 
Back
Top Bottom