Mazoezi baada ya ibada ndani ya nyumba ya ibada?

Mazoezi baada ya ibada ndani ya nyumba ya ibada?

Dunia ina waislamu bilioni mbili,au 23% ya idadi ya watu wote waliopo duniani,unadhani uislamu ingekuwa dini ya shari unadhani dunia ingekalika?
Wengi wetu ama kwa kukosa ufahamu au kwa ushabiki tumekuwa tukiihusisha dini ya kiislamu na ugaidi.
Nakupa challenge uende ukasome historia ya ugaidi from the first century to date alafu utaelewa kinachoendelea duniani
Nani asiyejua kuwa ni dini ya kujitoa muhanga? Rejea yaliyotoke ubalozi wa marekani tz na kenya westgate, nenda marekani, rejea kukatwa kichwa hovyo kwa binadam.

Huenda wewe tu ndiyo hujui kuwa kuwa muislam na kujitoa muhanga kuangamiza wasio na hatia ni moja ya mafundisho ya dini yenu..ukibisha basi n kwasababu unajitahidi kutaka kuficha ukweli.

Dini ya amani ni ile ya mfalme wa amani..anakwambia ukipigwa shavu la kushoto toa na la pili kabsa
 
Wenye vichaa haooo,tatizo hata uislam mnauonea wivu ndo mana dada zenu wote tunawaslimisha na tunawaoa sana saivi maana nyie ndoa hadi ufikishe 40's
 
Wenye vichaa haooo,tatizo hata uislam mnauonea wivu ndo mana dada zenu wote tunawaslimisha na tunawaoa sana saivi maana nyie ndoa hadi ufikishe 40's
Haya ni maneno ya mtu aliyeweka akili rehani,siku ukirudishiwa akili bilashaka utacomment vyenye mantiki
 
Nani asiyejua kuwa ni dini ya kujitoa muhanga? Rejea yaliyotoke ubalozi wa marekani tz na kenya westgate, nenda marekani, rejea kukatwa kichwa hovyo kwa binadam.

Huenda wewe tu ndiyo hujui kuwa kuwa muislam na kujitoa muhanga kuangamiza wasio na hatia ni moja ya mafundisho ya dini yenu..ukibisha basi n kwasababu unajitahidi kutaka kuficha ukweli.

Dini ya amani ni ile ya mfalme wa amani..anakwambia ukipigwa shavu la kushoto toa na la pili kabsa
Unawajua Irish Republican Army (IRA)?Sicarii,Tamil tigers je?,kazi ilokuwa inafanywa na Knight templars unaifahamu,the list is long.ugaidi upo na umekuwepo kabla ya mtume kuja,wapo magaidi wakristo (IRA),wapo wahindu (tamil tigers),wapo waislamu (alshabaab,ISIS etc).

Najaribu tu kukufamisha kuwa ugaidi hauko specific kwa dini fulani,bali ni utashi tu wa kundi la watu lenye dhamira ovu.

Kama umesoma historia basi utakuwa unafahamu kuhusu vita vya msalaba a.k.a the crusade na ile Spanish inquisition unyama wote huu ulifanywa na wakristo,joseph kony na kundi lake la Lord Resistance Army wameshafanya matendo kibao ya kigaidi,kwa mwamvuli wa dini ya kikristo lakini husikii waislamu tukiwatuhumu ama kuwaita wakristo magaidi.Ni wasiokuwa na elimu na kujua historia pekee wanaoweza kunyooshea kidole waislamu kuwaita magaidi.
 
Nani asiyejua kuwa ni dini ya kujitoa muhanga? Rejea yaliyotoke ubalozi wa marekani tz na kenya westgate, nenda marekani, rejea kukatwa kichwa hovyo kwa binadam.

Huenda wewe tu ndiyo hujui kuwa kuwa muislam na kujitoa muhanga kuangamiza wasio na hatia ni moja ya mafundisho ya dini yenu..ukibisha basi n kwasababu unajitahidi kutaka kuficha ukweli.

Dini ya amani ni ile ya mfalme wa amani..anakwambia ukipigwa shavu la kushoto toa na la pili kabsa
Hebu kwa faida ya wote unionyeshe mahala kwenye Qur-an,hadithi ama maisha ya mtume palipofundisha kuuwa mtu asiye na hatia ama mtu wa dini tafauti.ukiweza kutuletea kipengele hicho nabadili dini leo leo.
Nachojua mimi na nilichokisoma ni katazo la kuua,kudhuru ama kulazimisha asiye muislamu kubadili dini.
 
Uislam ni Mfumo Kamili wa Maisha

Udikteta ni kutaka Mifumo yako ya Ibada iwe ndio Mifumo elekezi ya Wengine kuabudu

Wakimaliza Ibada na kuamua kufanya Mazoezi ya kujenga Mwili Afya na kujiweka sawa Nyie kinawauma nini? Mbona sie hatuingilii wanavyofanyiwa Watoto wenu kwny Sunday school?
 
2f11f41b108ae3e4603d965af85750c5.jpg
Duu umeniaribia usingizi
Duuhh!! Hiyo si ni judo kabisa!! No maana hawatakagi viti au mabenchi ya kukalia kwenye ibaada maana saa nyingine linakuwaga Dojo
 
Mioyo yao imejaa nia mbaya kwa watu fulani.Mimi aliyekuwa rafiki na mwanafunzi mwenzangu alipoona namshinda kwa hoja na misimamo akasema anatamani siku ije ipigwe JIHAD, kwakuwa mimi mwenyewe Judo ndo zimeamkia hapa nikamwambia anzisha wewe sasa hivi nikuvunje ugoko, weeeeee alijaribu unadhani!!!
Kwakuwa upo nyuma ya kompiuta(simu) unaweza kuandika chochote.

Na kwakuwa dini yenu uongo ni sehemu ya ibada kuu,hakuna cha ajabu. Endelea tuu na ibada yako
 
Kuna msemo maarufu wa Nabii Issa (yesu) a.s unaosema "Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.
Hakuna hatia kwa watu Kufanya mazoezi ndani ya jengo la ibada.Kwenye uslamu na imani nyengine Msikiti(temple) sio tu ni sehemu ya kufanya ibada bali pia ni community center,sehemu ya jamii kukutana,kusaidiana na kufanya mengine mengi yawahusuyo ikiwamo mazoezi.

625b4c002a50bfad43c9ea7f5bfa5265.jpg

fb67b102702b8c5379b90d4c5ff93e9b.gif

93988fd10f47970c87350a52ba25187d.jpg

Pichani ni watawa na waumini wakibudha (budhist monks) wakifanya mazoezi ya kung fu/tai chi katika matemple yao

Ni wajinga pekee na wale wasio na uelewa wa dunia wanaoweza kushangaa watu kufanya mazoezi katika maeneo yao ya ibada.
A mosque is an institution.

de4935951434805c8fb0ba128140fd67.jpg

aab0c85ce233762582ddf27c9b64c9b9.gif

3537a5629275cdafc31b6b0fb8ff58a7.jpg
Mkuu hayo ya watu wanapotea kwa kukosa maarifa yesu aliyasema wapi? Unaweza kuweka kifungu kutoka kwenye quran au biblia?

Binafsi nilikua sijui kama hayo maneno yalisema na yesu.
 
Back
Top Bottom