Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Dunia ina waislamu bilioni mbili,au 23% ya idadi ya watu wote waliopo duniani,unadhani uislamu ingekuwa dini ya shari unadhani dunia ingekalika?Polisi wawe wanawatupia macho sana hao watu tunaweza kusema wanafundishwa mazoezi kumbe wanafundishwa na vya kubeba kwenye mabegi tukaja kutafutana kwenye bombardier tukiwa angani!
Kuna msemo maarufu wa Nabii Issa (yesu) a.s unaosema "Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.
Hakuna hatia kwa watu Kufanya mazoezi ndani ya jengo la ibada.Kwenye uslamu na imani nyengine Msikiti(temple) sio tu ni sehemu ya kufanya ibada bali pia ni community center,sehemu ya jamii kukutana,kusaidiana na kufanya mengine mengi yawahusuyo ikiwamo mazoezi.
Pichani ni watawa na waumini wakibudha (budhist monks) wakifanya mazoezi ya kung fu/tai chi katika matemple yao
Ni wajinga pekee na wale wasio na uelewa wa dunia wanaoweza kushangaa watu kufanya mazoezi katika maeneo yao ya ibada.
A mosque is an institution.
Ohooo!!!Mioyo yao imejaa nia mbaya kwa watu fulani.Mimi aliyekuwa rafiki na mwanafunzi mwenzangu alipoona namshinda kwa hoja na misimamo akasema anatamani siku ije ipigwe JIHAD, kwakuwa mimi mwenyewe Judo ndo zimeamkia hapa nikamwambia anzisha wewe sasa hivi nikuvunje ugoko, weeeeee alijaribu unadhani!!!
Sawa!Dunia ina waislamu bilioni mbili,au 23% ya idadi ya watu wote waliopo duniani,unadhani uislamu ingekuwa dini ya shari unadhani dunia ingekalika?
Wengi wetu ama kwa kukosa ufahamu au kwa ushabiki tumekuwa tukiihusisha dini ya kiislamu na ugaidi.
Nakupa challenge uende ukasome historia ya ugaidi from the first century to date alafu utaelewa kinachoendelea duniani