Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Ngojea yakukute hiyo mizimu ndipo utakapojuwa kuwa ni upumbavu au matatizo. Ninakupa Test chukuwa udi wa vijiti 4 unapoa lala usiku washa udi zote kisha weka kila pembe ya kitanda chako kisha lala fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utaona jinsi jini mahaba atakavyokujia usiku na kufanya nae mapenzi kama ni wewe ni mwanamke atakujia jini mahaba wa kiume la kama wewe ni mwanamume atakujia jini mahaba wa mwanamke na utafanya nae mapenzi utastarehe huna haja tena ya mwanamke wa au Mwanamume wa kibinadamu fanya hivyo uje utupe mrejesho wako. Au njia ingine iliyo rahisi fanya hivi kila siku usiku kabla ya kulala vua nguo zako uwe uchi kisha jiangalie katika kioo kwa muda wa dakika 10 kisha nenda kalale usingizi fanya hivyo siku 3 utakuja kuleta mrejesho wako hapa ninakutakia mafanikio mema jaribu uone kama kweli kuna nguvu ya mizimu au upumbavu.Ni ujinga na upumbavu mtupu kuamini mizimu
Pole yako has rejectedPole, hiyo roho ya hofu, wasiwasi na uoga uwapata watu dhaifu kiroho.
Mwili upumua na kutulia zaidi usiku ukiwa umejilaza utupu
Don't try this at home..Ngojea yakukute hiyo mizimu ndipo utakapojuwa kuwa ni upumbavu au matatizo. Ninakupa Test chukuwa udi wa vijiti 4 unapoa lal usiku washa udi zote kisha weka kila pembe ya kitanda chako kisha lala fanaya hivyo siku 3 utaona jinsi jini mahaba atakavyokujia usiku na kufanye mapenzi kama ni wewe ni mwanamke aatakujia jini mahaba wa kiume la kama wewe ni mwanamume atakujia jini mahaba mwanake na utafanya nae mapenzi utastarehe huna haja tena ya mwanamke wakibinadamu fanya hivyo uje utupe mrejesho wako. Au njia ingine iliyo rahisi fanya hivi kila siku usiku kabla ya kulala vua nguo zako uwe uchi kisha jiangalie katika kioo kwa muda wa dakika 10 kisha nenda kalale usingizi fanya hivyo siku 3 utakuja kuletamrejesho wako hapa ninakutakia mafanikio mema jaribu uone kama kweli kuna nguvu ya mizimu au upumbavu.
Unalala uchi usiku unavamiwa na majambazi utajua hujuiMsimu wa Joto huu hapa ndio zile nyakati unatoka kuoga baada ya maji yatiririke jasho ndio linatoka wazee wa AC wanapeta tu na feni hazipo nyuma kupambana na joto afu kuna wazee wa kulala wakiwa watupu.
Kama wewe ni jinsia Ke basi Ruksa kulala bila nguo.
Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole
Hauogopi minara halisiKulala uchi kunaongeza IQ
tuko tofauti sana, mara ya mwisho kulala na nguo nipo chuo
achana na kulala, nikishinda ndani nakua uchi
cojones zikiwa zinaning'inia mda wote,
Na macho kama anacheza amapianoπ€£π€£π€£π€£π π π π π eti wakasikia miguno, wangeangalia chini wangeona vidole vinakunjika
Eee bibi jamani!! ππππTandu, nge, nyoka na wadudu wengi tu wanapenda mashimo.
Mwache apatikane na Jini mahaba sisi Wataalam wa asili tupate wateja wa kuwatibu.Usijaribu mkuu kuna majini mabazazi.
Hebu futa unajiaibishaTandu, nge, nyoka na wadudu wengi tu wanapenda mashimo.
Basi kuanzia Leo nianze kulala uchi jini mahaba akaribie kwangu maana kulala Peke yangu na baridi hii upwiru unakaba koo
Hiyo hufanyiwa wanaopenda.Hauogopi minara halisi View attachment 2784842
Ni mimi kabisa wewe,hapa yenyewe nachat nipo naked mbupu Zinapunga hewatuko tofauti sana, mara ya mwisho kulala na nguo nipo chuo
achana na kulala, nikishinda ndani nakua uchi
cojones zikiwa zinaning'inia mda wote,