Mazoea ya kujisomea vitabu

Mazoea ya kujisomea vitabu

Daddi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
890
Reaction score
1,398
Kama mnavyojua kusoma vitabu mbalimbali kunaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa ubongo chakula.

Nimekuwa natamani sna kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali ila tatizo naweza kuanza nikapiga pages 20 hv then badae najikuta nashindwa kuendelea.

Nilitamani sana nikisome kitabu cha Mengi, I can I must I will ila nimeishia page ya 23.

Nina vitabu kibao hardcopy na vingine softcopy in pdf ila issue kusoma sasa ndio kimbembe.

Nipeni hints mnawezaje??
 
Hatua uliyopiga ni kubwa kuna watu ata hizo page 20 hawafiki maarifa uliyoyapata si haba ukilinganisha na mtu asiyesoma kabisa...soma kitabu cha Robin Sharma “ who will cry when you die” ndani kuna chapter kaipa jina “ dont finish the book”
 
  • Thanks
Reactions: usy

Ha ha haaa sawa mkuu nadondoshee copy yake hapa boss.
 
Kama mnavyojua kusoma vitabu mbalimbali kunaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa ubongo chakula.

Nimekuwa natamani sna kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali ila tatizo naweza kuanza nikapiga pages 20 hv then badae najikuta nashindwa kuendelea.

Nilitamani sana nikisome kitabu cha Mengi, I can I must I will ila nimeishia page ya 23.

Nina vitabu kibao hardcopy na vingine softcopy in pdf ila issue kusoma sasa ndio kimbembe.

Nipeni hints mnawezaje??
Kusoma sana vitabu kuna kula sehemu kubwa ya ubongo
 
Vitabu naviuza kwa bei karibu na bure
 
Attachments

  • 20190826_150017.jpg
    20190826_150017.jpg
    129 KB · Views: 24
  • 20190826_150000.jpg
    20190826_150000.jpg
    123.4 KB · Views: 29
Kama mnavyojua kusoma vitabu mbalimbali kunaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa ubongo chakula.

Nimekuwa natamani sna kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali ila tatizo naweza kuanza nikapiga pages 20 hv then badae najikuta nashindwa kuendelea.

Nilitamani sana nikisome kitabu cha Mengi, I can I must I will ila nimeishia page ya 23.

Nina vitabu kibao hardcopy na vingine softcopy in pdf ila issue kusoma sasa ndio kimbembe.

Nipeni hints mnawezaje??
Kitabu cha Mengi kinaboa?
 
Back
Top Bottom