Kuna jamaa yangu ameoa mke wamefanikiwa kupata mtoto mmoja amenipa Stori
,,,Juzi Mida ya jioni wakati yupo ndani na wife kuna kijana jirani yao mmoja alikua anapita ametoka apartment anayokaa akamskia anasalimia MAMA FLANI ZA JION... MKE WAKE AKAJIBU NZURI..JAMAA AKAONGEZEA KWEMA...MKE AKAJIBU KWEMA ... jirani akapita zake akatoka mlango WA kolidoni.
Jirani huyo Hizo salamu alikua anatoa yupo nje kolidoni anapita mke WA jamaa na jamaa wapo ndani sebuleni.
Sasa rafiki yangu anashangaa haya mazoea yameanza lini au mi nikiwa sipo huwa wanapigaga stori.
Mi nikamtuliza mwamba asiwe na hofu mke wake ni mama wa nyumbani YEYE anashnda kazini aacha uoga afanye mambo yake.