Mazoea katika Nyumba za kupanga

Mazoea katika Nyumba za kupanga

Kuna jamaa yangu ameoa mke wamefanikiwa kupata mtoto mmoja amenipa Stori

,,,Juzi Mida ya jioni wakati yupo ndani na wife kuna kijana jirani yao mmoja alikua anapita ametoka apartment anayokaa akamskia anasalimia MAMA FLANI ZA JION... MKE WAKE AKAJIBU NZURI..JAMAA AKAONGEZEA KWEMA...MKE AKAJIBU KWEMA ... jirani akapita zake akatoka mlango WA kolidoni.

Jirani huyo Hizo salamu alikua anatoa yupo nje kolidoni anapita mke WA jamaa na jamaa wapo ndani sebuleni.

Sasa rafiki yangu anashangaa haya mazoea yameanza lini au mi nikiwa sipo huwa wanapigaga stori.


Mi nikamtuliza mwamba asiwe na hofu mke wake ni mama wa nyumbani YEYE anashnda kazini aacha uoga afanye mambo yake.
Kwani ukisema kuwa ni wewe badala ya huyo Jamaa ni dhambi?

Jiachie, ukijiamini kwa shemu ingawa wasiwasi nao ni akili.
 
Kwani ukisema kuwa ni wewe badala ya huyo Jamaa ni dhambi?

Jiachie, ukijiamini kwa shemu ingawa wasiwasi nao ni akili.
Hio scenario ukiambiwa Kwa mdomo na jamaa mwenyew ndio utaashtuka kidogo kiukweli nyumba za kupanga kama kuna bachela anaishi ni lazima kuwe na wasiwasi kidogo.
 
Hio scenario ukiambiwa Kwa mdomo na jamaa mwenyew ndio utaashtuka kidogo kiukweli nyumba za kupanga kama kuna bachela anaishi ni lazima kuwe na wasiwasi kidogo.
Mke wako kama hajielewi ataliwa na mwanaume yeyote, awe ameoa au hajaoa.
 
Aisee insecurity imekuwa kubwa sana. Yani saa hii hamna lililo jema. Mwingine hataki msomi au alieajiriwa.. kisa ataliwa ofisini na boss. Haya na huyu nae mke mama wa nyumbani, as long as kuna majirani, wapita njia, anaenda gengeni, sokoni, mpesa shop atakutana na li-gentlemeni tu na kama ana hulka mbaya ataliwa tu hata iweje. Hata useme umfundshe cherehani sijui apike vitymbua kama ni kuliwa ataliwa tu....

My take dont protect a woman because you cant. Na ndo maana umakini unahitajika katika kuchagua mke. Wanaume wa siku hizi mnapenda curves, sura, tackle, saa sita...wengne sijui mpambanaji tutakaetafuta wote..haya sasa vigezo vya ajabu. Kanisani hamuend, misikitini mnatafutwa..vgezo vya mke mwema mtavijua saa ngapi na wapi. Au ndo mitaani. Madhara ndo haya kila saa mnaogopa mnashusha thread jf. In short hamjui quality ya mke mwema na Mungu kawaficha.

Usitegemee kama wewe ni ndorobo, shwain flani ivi..ukapata mke mstaarabu, au mwenye maadili...hilo halipo. Be faithful, be good utapata kitu kizuri. Hata wazazi hufurahia na kuwapa kitu kizuri watoto wenye adabu. We busy kuchakata mchana na usiku unafikiri utapata mke mzuri.. Utafichwa tu ujiokotee kasukasu ukafie mbele....

#povulaomo#
 
Mwanamke akiamua kugongwa, anagongwa vizuri hata km mnashinda wote nyumbani.
Kumlinda mwanamke ni sawa na kulinda bahari. Mambo mengine unapotezea tu, jinsi unavyombana mwanamke ndivyo inavyokuwa rahisi kugongewa.
Hio scenario ukiambiwa Kwa mdomo na jamaa mwenyew ndio utaashtuka kidogo kiukweli nyumba za kupanga kama kuna bachela anaishi ni lazima kuwe na wasiwasi kidogo.
 
Hiyo kitu imenikuta aisee! Nilienda kununua bidhaa kwa duka ya mama fulani hapo kwao, ni mgeni mtaani but kwa kuwa alikuwa bize akaniambia subiri kidogo nihudumie hawa kwani wewe ni jirani nitakuhudumia. Nikasepa home, Muda naona bidhaa inaletwa na binti. Siku ya pili na kuendelea nikaona salamu nyingi sanaaa hata nikiwa mbali.
Nashukuru nimehama mtaa maana sijui nini kingetokea.
 
Back
Top Bottom