Maziwa matamu,lakini... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maziwa matamu,lakini...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Oct 15, 2012.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Ndio,ni mazuri sana,wanaume wengi hupenda sana kuya chezea
  na hata kunyonya, of course,nami nimo pia.

  Lakini,moja kati ya matatizo yanayo wapata wanawake wengi ni kansa ya maziwa.
  je,tuna usalama gani sisi tunao kimbilia kunyonya?

  Ni lini utajua ni salama,na lini sio salama kunyonya?

  Utakuaje ukinyonya kwa mtu alie na breast cancer ?

  Tuna pigana vipi na janga hili katika jamii yetu?
   
 2. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  as far as i know cancer is not a communicable disease. cancer is treatable ikiwahiwa lakini sijui njia yoyote ya kuzuia isitokee
   
 3. k

  karatta Senior Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  do u think cancer is a transimitable dzz?
   
 4. k

  karatta Senior Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kupata cancer inategemea na exposure ya kitu fulan Kwa mfano exposure ya radiation mbalimbal,food poison n.k
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sijui aisee,ndo maana nikauliza kuna usalama gani utakapo
  nyonya kwa mwenzi wako,yeye akiwa hajui kama ana kansa na baadae ika
  gundulika anayo.
   
 6. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Hellow!!
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Eeeee..........
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Well,maybe huku kunyonya nyonya nako kunaweza kuwa kuna
  sababisha aina nyingine ya kansa kwa wanaume na watoto?
  Una semaje?
   
 9. Blue_Face

  Blue_Face Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hahaha, labda umtafune maana meno mengine yana poison, nafikiri yakitoka maji-maji time ya kunyonya ndio inaweza kuleta madhara kwa mwanaume au mtoto. Ama kama makavu naona hamna mushkila.

  Hamna condom ya mdomo - hahaha.
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa Speaker, ni matiti, ndio wanaume wanayopenda kuchezea, si maziwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. t

  tmasi de masio Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  kondom ya chini tu kuvaa shida utavaa ya mdomo.hahahaha
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Ndio maana wanaume tunapata cancer za koo kumbe wengi wetu wananyonya sana hii kitu eeh
   
 13. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  umenifanya niende online na kusoma a bit nikaona hizi habari. unless ukifanya #1, hakuna namna ya 'kusambaza' breast cancer from 1 person to another. this applies to all cancer types.
  1. Bernard Peyrilhe - Wikipedia, the free encyclopedia
  2. Transmission of breast cancer--a controversy reso... [Clin Genet. 1992] - PubMed - NCBI
  3. How the breast cancer can be transmitted? - Yahoo! Answers
   
 14. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kaka nyonya tu, cancer haiambukizi, labda mwenyewe akueleze kuwa anaumia ukimnyonya.
   
 15. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nyonya matiti,usinyonye maziwa ni ya mtoto.
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Endelea tu kunyonya haiambukizi
   
 17. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ingekuwepo ningenunua contena,maana napenda sana kulamba ila naogopa kukutana na surprise lol
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna article naisaka apa inayohusu namna unyonyaji wa maziwa iwe mtoto au mtu mzima inavyopunguza uwezekano wa mama kupata Cancer
  Nkiipata ntawaiweka hadharani
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  wanamme, nawaalika mnyonye matiti ya wake/wanawake zenu.

  Inapunguza uwezekano wa kansa ya matiti.
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Of all the people, you, Speaker ndo unauliza hili swali? Mmmh!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...