TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,759
- 20,850
Mimi nafikiri haya ndio maelezo pekee yanayo make sense.Kama kabla ya kuzaliwa nilikuwa sipo na sikuwa na shida yoyote, kwahiyo hata nikifa haitakuwa na shida pia.
Returning back to nothingness, which is really good.
Kabla ya kuzaliwa hatukuwepo, wala hatukujua chochote. Baada ya kufa hatutakuepo, wala hatutajua chochote.
Tatizo binadamu tumedanganyana kwamba sisi ni viumbe "special", tuna roho iliyotoka kwa Mungu, tukifa roho inaendelea kuishi, mara sijui tutafufuliwa siku ya mwisho.. mambo ya ajabu kabisa!
Sisi ni wanyama kama wanyama wengine. Fullstop