Mazito kuhusu kifo kuogopwa duniani kote

Mazito kuhusu kifo kuogopwa duniani kote

Kama kabla ya kuzaliwa nilikuwa sipo na sikuwa na shida yoyote, kwahiyo hata nikifa haitakuwa na shida pia.

Returning back to nothingness, which is really good.
 
Duh yote ni sawa mkuu
Kwamba huyo huyo Yesu ndo Mungu halafu huyo huyo tena Mwana wa Mungu?
Wakati baada ya kuzaliwa akiwa anakua Cheo cha uungu nani alikuwa amekikaimu maana yeye akiwa mwana wa Mungu mkuu..

NB;
Usione kama kejeli nilikwambia huwa sijapata mtu wa kunifahamisha vizuri. Nipate kuelewa..
 
Hata mimi mkuu suala la
Trinity bado naendelea kulisoma ndio maana nilikwambia before hua inanichanganya na mimi...
 
Hata mimi mkuu suala la
Trinity bado naendelea kulisoma ndio maana nilikwambia before hua inanichanganya na mimi...
Nimekuelewa mkuu Yesu aendelee kukupa hekma maana mwingine angejibu kwa mihemko nafurahi kukiri hata wewe huelewi kama mimi.
 
Mwanzo WA uhai NI kuzaliwa na mwisho WA uhai NI kufa hakuna kumbe hai kitakachodumu chini ya Jua,nadhani kinachotisha zaidi Watu NI hatujui tutakufaje na maumivu ya kufa yapoje na pia nini kitatukuta baada ya kufa
 
Back
Top Bottom