Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,092
- 13,013
Sijakwelewa umemaanisha nini kusema "hizo ni story tu"Hizo story tuu
Sijakwelewa umemaanisha nini kusema "hizo ni story tu"Hizo story tuu
Nisaidie tuelewaNinajua kwa sababu nimekulia kwenye jamii inayoamini katika mizimu. Nilikuwa na maswali mengi sana kuhusu ulimwengu wa roho unavyofanya kazi. Hadi nilipoupokea WOKOVU na kujazwa Roho Mtakatifu ndipo nikaanza kupokea majibu ya maswali hayo kwa namna isiyokuwa ya kawaida.
Ninamshukuru Mungu kwa sasa ninamjua Mungu na shetani pia ninamfahamu - (Kwa kifupi ulimwengu wa roho ninaujua vilivyo)