Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,810
- 5,043
Ha ha ha wewe ni genius. Ila ongea pole pole.
Nimekusoma Chief!
Ila....sio poa! [emoji28]
Ni mbinu tu za kujiponesha na maumivu ya maisha!
Ha ha ha wewe ni genius. Ila ongea pole pole.
Nimeona John mtembezi na Grants zikimiminiwa hapo [emoji44][emoji44]Huo ni uharibifu wa kinywaji cha heshima...[emoji2955][emoji2955]
Video hiyo hapo. Kwa kifupi kila mtu aliumia kwa sehemu yake. Ila lipo la kujifunza hapo.
View attachment 1542249
Wala hauja kosea...[emoji2955]Ha ha ha mzee unatamani uende ukawachape makofi. Wanachezea vinywaji.
nyakyusaVideo hiyo hapo. Kwa kifupi kila mtu aliumia kwa sehemu yake. Ila lipo la kujifunza hapo.View attachment 1542249
Hupandwa katika uharibufuVideo hiyo hapo. Kwa kifupi kila mtu aliumia kwa sehemu yake. Ila lipo la kujifunza hapo.View attachment 1542249
Kama si Malawi Basi Zambia Swaga za Kinyasa kabisa hiziHaieleweki ila ndani ya bara la Africa.