Naked we came,naked we return. R.I.P our ill-fated MAFISANGO.
Bwana alitoa na Bwana mwenyewe ametwaa, jina lake libarikiwe.
Hawa foreigners wawe wanafanya jitihada ya kuchunguza historia ya baadhi ya vilabu hapa nchini kabla ya kujiunga navyo kwa vile kuna ambavyo vina utamaduni wa kutoa kafara wachezaji na viongozi mashuhusri ili viweze kupata mafanikio.
Historia inaonyesha kuwa Simba Sports Club ndiyo kinara wa mambo haya - TAFAKARI!!
teh teh teh umenifurahisha kweli kweli, kumbe na wewe unalijua eenh! kuna mchezaji miaka ya 80 mwanzoni alifia pale Msimbazi akipelekwa Muhimbili sikumbuki jina , je Sembuli? hawa watu balaa, hata Mkwe wake Sunday manara pia walimtoa kafara tena alikuwa kama Albino fulani fulani hivi hawa Simba sio watu hata kidogo!