Sasa, kujiua ndio kunarudisha hizo $ 1500 au kunaondoa tuhuma zinazomkabili au kunatoa somo kwa babake na watu wengine kwa ujumla wasiwatuhumu watoto wao au ...? Mambo mengine yanahitaji kutafakari kwa kina kabla ya kuchukuwa maamuzi magumu.Baada ya mwendo wa saa moja kwa gari tumefika Mererani eneo kitongoji maarufu cha Cairo ambako John Justin NDossi atapumzishwa milele.
Itakumbukwa marehemu alijipiga risasi kifuani nyumbani kwao Levolosi Arusha baada ya kutuhumiwa kuiba dola 1500 za baba yake.
REST IN PEACE JOHN.
Huyo baba alimuua mwenyewe kijana wake. hainiingii akilini kwamba alijiua mwenyewe.
Mh poleni wafiwa ila je ni kweli aliiba hizo pesa?
Mh poleni wafiwa ila je ni kweli aliiba hizo pesa?
Mh poleni wafiwa ila je ni kweli aliiba hizo pesa?