Mazishi Ya Mch. Mahimbo....

hata kama kafanyaje! Bado analiliwa mtu kazaliwa 1929? Mwacheni jamani akapumzike kwa amani!
 
Apumzike kwa amani. CCM nayo ipumzike kwa amani
 
Chezea Mungu weye, sasa akafanye kufuru zake mbele yake.
 
Hili jna mbona limefanana na yule aliyekuwa meneja mkuu wa Uda kipindi cha maIkarius au majina tu yamefanana?. Nakumbuka naye alikuwa mchungaji miaka ya 80 mwishoni.
 
Najaribu kutafuta habari ya huyu mzee mahimbo.. Mwanakijiji unaweza ukanipa link, ili niweze kuunga habari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…