Mazishi ya kadinali ruganbwa katika picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazishi ya kadinali ruganbwa katika picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kaa la Moto, Oct 6, 2012.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  IMGP0481.JPG
  barabara ya kashozi mjini bukoba ikiwa imefurika waumini waliokuja kuangalia nini kinaendelea

  View attachment 67389
  rto kagera akiwa kazini kupanga magari katika maandamano toka kashozi kwenda bukoba mjini.

  IMGP0486.JPG
  gari iliyobeba geneza lililo na mwili wa marehemu rugambwa


  IMGP0487.JPG


  msururu wa magari na watu wakielekea kanisani kwenye maziko

  IMGP0494.JPG
   

  Attached Files:

 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Waache wafu wazike wafu wao. Haya ni mazishi au maziko? Laiti Vasco da Gama asingeyashiti maziko haya! Watu wanaojiita wa Mungu wanateketeza sadaka kwenye ushirikina na upuuzi. Hivi hiyo pesa inayofujwa hapa ingesaidia watanzania wangapi?
   
 3. Ngalangala

  Ngalangala JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kweli panya wa kanisani atakula kanisani. Anyway labda kwakua sio shemasi
   
 4. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu Father of All, wao wanaliita tukio la kihistoria wewe unaita ushirikina ok. Ila fuatilia utaratibu wa maziko ya maaskofu na makardinali au watu wakubwa katika uanzishwaji na usimikwaji wa kanisa katoliki utajua hii ina maana gani na sio kwa wakatoliki tu bali taifa zima la Tanzania.

  Wakati mtume Petro ambaye ni mhayudi alizikwa mahali lilipojengwa kanisa "Basilica" la Mt. Petro mnjini Vatican waitaliano wanatengeneza mamilion kutoknana na watilli wsio pungua milion 7 kwa mwaka wanaotembelea vatican tu.

  lakini pia nchi za Ufaransa na Hispania zina makanisa au shrines za kikatoliki zeneye maudhui sawa na hilo wakatoliki bukoba wanajarinu kufanya nchi huwa zinapata watalii si chini ya 1.5million kwa mwaka faida nani sijui. Hata Mexico nao wnalokanisa la kihistoria katika imani yao ya kikatoliki kwa wengi wao hawa hupata hadi watalii million 4 kwa mwaka pamoja na faida hizo lakini pia inawasaidia kuunganika na kuendeleza nchi zao.

  Kardinali Rugambwa, bila shaka ni mtu mashuhuri sana na sio Bukoba au Tanzania tu Afrika na Duniani kote pengine, wakatoliki kile wanachoamini ni mhimu katika utamaduni wa imani yao na pengine kwa gharama kubwa walizotoa kwa moyo mkunjufu sababu kubwa ni kutunza Heshima na Historia ya Mtu maarufu.

  St. Peter1.jpg St. Peter2.jpg

  Picha ni mionekano tofauti ya Mahali yalipo mabaki ya Mt. Petro Mtume ndani ya Basilica la Mt. Petro Vatican Italy.
   
 5. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Asante kaka ulikuwa huna haja ya kumuelewesha huyo pimbi wa akili,hapa amebehave kama bata kaharisha kaondoka zake
   
 6. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna wengi wamevaa njano na kijani? Ni rangi za kikatoliki? za CCM? au za Yanga? Sielewi
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,137
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  Pili pili usizozila zakuwashia nn?..
   
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tedo kuna kipindi pilipili usizokula zinakuwasha hasa zinapowawasha watu wajinga wanaoibiwa na watu wanaojifanya watu wa Mungu. Kama nawe ni mmojawapo mie sitaomba radhi kukupigania na kukuelimisha. Mimi ni baba yenu nyote na kuwanasihi ni wajibu wangu.
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  hiyo pesa isaidie watz kwani umesikia ni kodi yao hapo imetumika
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Remote hujui kuwa sadaka ni kodi? Acheni kutetea upuuzi. Angalieni maisha ya wanaotozwa hiyo sadaka mlinganishe na kuiunguza kwenye maziko. Acheni uroho upogo na roho mbaya. Mbona Yesu hakuzikwa kifalme hivyo kama hiyo ni deal?
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watu mnaleta dhiaka kwenye mambo serious kama haya
  mnaleta siasa kwenye dini haya ni mambo ya imani acheni kashfa
   
 12. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kama kusaidia wamesaidia vya kutosha. Pale Kagera askofu Rugambwa ameweza kujenga shule kadhaa, hadi sasa kuna shule za primary English medium 6, vyuo vya ufundi 3, vyuo vya uuguzi 3, chuo kikuu, hospital ya rufaa ya Rubya kama sikosei na taasisi kibao. Sasa watanzania wasidiwe katika nini ambacho kimebaki. Coz kusaidia mtu muwezeshe apate elimu ili kesho asije kuomba tena, na ndiyo hayo ambayo kanisa limekuwa likfanya tangu enzi mpaka sasa. Acheni tufanye mazishi ya heshima kuuenzi mchango wake kwa Taifa. Mbona Jk anatembea masafari kibao yasiyo ya msingi na still husemi aache asaidie masikini. Sheet
   
 13. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mupirocin hiyo sheet una maana ya ukurasa au shit ya kinyesi. Nani kakwambia kuwa alichangia ili azikwe kifalme tofauti na mfano alioweka Yesu Kristo? Yesu aliyeomba na kutetea maskini angekuwapo leo angesimama nami na siyo wewe unayetete kujilisha pepo.
   
 14. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Amekufa lini huyu?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  watu wengi.....
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hao wanaopinga ni wale wanaotaka kufuta historia iliyotukuka ya Rugambwa, kila alipopita kaacha jina kubwa wakati wao na viongozi wao kila kijiji wanachopita wanaacha watoto wasiopata msaada.
   
Loading...