Membe hayupo hapo ?Mazishi ya Bush yanaendela Texas. Mwenye DsTv aangalie.
Kumbe ni Mkatoliki! Kanisa limejaa halafu watu wanasema dini imeisha nguvu wanakwenda vijana. Bado imani wanayo, ni hizi siasa za mudunia!
Dini iko sana Marekani,ufahamu wao ni wa juu zaidi yetu,ingawa huu nao ni mjadala....Mazishi ya Bush yanaendela Texas. Mwenye DsTv aangalie.
Kumbe ni Mkatoliki! Kanisa limejaa halafu watu wanasema dini imeisha nguvu wanakwenda vijana. Bado imani wanayo, ni hizi siasa za mudunia!
Chaneli namba ngapMazishi ya Bush yanaendela Texas. Mwenye DsTv aangalie.
Kumbe ni Mkatoliki! Kanisa limejaa halafu watu wanasema dini imeisha nguvu wanakwenda vijana. Bado imani wanayo, ni hizi siasa za mudunia!
Udini unakusumbua.....angekua mlokole au msabato kwa umarufu wake unategemea kanisa kutoja kweli? Yeye mwenyewe alikwambia kwake America first his family second his religion third......unadhani hao watu niwafia dini kama nyie wa Africa mnatelekeza familia zenu mkishida na kukesha makanisani.Mazishi ya Bush yanaendela Texas. Mwenye DsTv aangalie.
Kumbe ni Mkatoliki! Kanisa limejaa halafu watu wanasema dini imeisha nguvu wanakwenda vijana. Bado imani wanayo, ni hizi siasa za mudunia!
Huku kwetu Afrika, uelewa wa nini hasa ni DINI na Uhalisia wa IMANI uko chini sanaDini iko sana Marekani,ufahamu wao ni wa juu zaidi yetu,ingawa huu nao ni mjadala....
Misiba ya kizungu kucheka sio tatizo;
Kwa alivyokuwa mzee hakuna sababu ya kuliaMisiba ya kizungu kucheka sio tatizo;
Sio Bush huyu, ni mwanaweSaddam anamubiria
Kwa hapa nyumbani sidhani kama utaelewekaKwa alivyokuwa mzee hakuna sababu ya kulia
mazishi ni sherehe...Kwa hapa nyumbani sidhani kama utaeleweka
Mhh tunatofautiana tamaduni siwezi pingamazishi ni sherehe...