Walipouawa Wapemba kulifanywa nini?
Hali ya kusikitisha ni kwamba mauaji yaliyotokea yanaonekana kama Serikali iliua sisimizi.Wakati wakazi wa Arusha wameomboleza leo,Viongezi wa juu wa Serikali wako Zanzibar wanakula kuku.Hii ni dharau kubwa na serikali imeonesha hata ikiua idadi yeyote ya raiya hamna anayejali.Waliuawa wafanyabiashara wa Morogoro ikaundwa tume.Haya ya arusha wmegfanya kama wanyama.Inakuaje nyumbani kwako kuna msiba halafu unafanya sherehe?Ni dharau kubwa kwa wakazi wa Arusha na watanzania kwa ujumla.Nimesikitika sana
Mkuu ulitaka sherehe yao iahirishwe? au ulitaka nini hasa kifanyike na wazanzibar?
Wala usihangaike mkuu, zenji ni nchi nyingine wala haituhusu!
Mkuu,sera za kikwete za kususa kwa sababu ya hasira.
kwa nini wasitume hata muwakilishi wa serikali?
mbona maziko ya dr. remy walituma kiongozi wa serikali.
aibu kuu.
Mwanza, Musoma na Shinyanga msilale.
Jumamosi TUNATAKA MAANDAMANO!!!!
Kwa ruhusa au bila ruhusa
Walipouawa Wapemba kulifanywa nini?
Napenda msimamo wako huu uwe wa viongozi wa chama chako! will support that
chadema wanaweza kufanya maandamano bila vurugu. kwani hukuona leo msafara wa kutoka hospitali kwenda viwanja vya nmc? mbona wamelinda wao wenyewe chadema bila hao wazee wa intelijensia?