Mazingira yapi ni furaha kuishi,

Mazingira yapi ni furaha kuishi,

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,759
Reaction score
15,566
Sielewi shida ni malezi au tamaduni zetu...?

Ni nyakati gani kwenye maisha yako, unahisi uliishi na watu au mazingira Mazuri kwako na kuyafurahia.. ?

1. Kipindi Unasoma O level au A level, iwe ni boarding au day.

2. Ukiwa Chuo, watu wa karibu ni marafik tu.

3. Kuishi kwa Ndugu wa karibu (sio wazazi)

4. Kuishi na wazazi, na watu uliozaliwa nao tumbo moja.

5. Kuishi peke yako geto zima, na hakuna ndugu wa karibu.

6. Kuishi na mke na hakuna ndugu wa karibu

7. Masaa ya Kazi zaidi ya masaa tisa kwa siku, ndio Furaha ya maisha yako ?

Ni kipindi gani huwa fantasy sana ??
Hatua ipi imekua na furaha kwako bila kujali kiwango cha kipato chako, au maovu uliyowahi kufanya.
 
Back
Top Bottom