Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,827
Mimi sikufikia hatua kama yako hivyo sikuhitaji msaada wa kirohoMkuu kwani wewe walisha kusaidia kiroho?
Mimi sikufikia hatua kama yako hivyo sikuhitaji msaada wa kirohoMkuu kwani wewe walisha kusaidia kiroho?
Heri yako mkuu wacha wengine tufe kibudu hata raha ya hayo maisha wacha tayupite wengineNipo kwenye mahusiano na maisha yanaendelea
Ndio ningumu kuwajua ila wewe jifanye upo kiujana zaidi watakuwa wanakukataa, wakishakukataa anza kumchunguza utakuja kugundua kuwa tayari anamtoto/watotoOk japo wa huku ni vigumu kujua kwa sababu ukimuona huwa wapo kama wasichana vile
Mkuu hayajakukuta naonaKinachokusumbua ni utoto
Sawa mkuu nitafanyia kazi hilo wazo lakoNdio ningumu kuwajua ila wewe jifanye upo kiujana zaidi watakuwa wanakukataa, wakishakukataa anza kumchunguza utakuja kugundua kuwa tayari anamtoto/watoto