Mazingira yangu

Mazingira yangu

Ninavyo vyote viwili
Sawa endelea kufuata kile moyo unapenda hata mimi sio kwamba sijui kupenda mpaka basi ila kwa malezi nilio kulia na tabia yangu huwa nikichafukwa na cha fukwa kweli
 
Enhee kuchafukwa huko nahusika vipi labda?
Sawa endelea kufuata kile moyo unapenda hata mimi sio kwamba sijui kupenda mpaka basi ila kwa malezi nilio kulia na tabia yangu huwa nikichafukwa na cha fukwa kweli
 
Wazo lako zuri sana na ndio uhalisia uko hivyo yaani nahisi ukipenda kwa dhati unaoneka poyoyo sana ni heri akuambia kinaga ubaga kuliko kupotezeana time bure
Bro,siku hiz hatupendan,Ila huwa tuna viziana,Unakula mzgo una pita hiv.
 
Kila shetani na mbuyu wake. Utakamatika tuu. WaPo waliojiita wasela nondo, wagumu lkn walilainika kama mkate kwenye chai. Mwanamke ana nguvu za ajabu
 
Ukitaka uwe unakataliwa na single mother hata kabla wewe ujajua kama ni single mother basi uwe unavaa modo, miregezo, yaani jiweke katika ile hali yaujana... Wallah utokuja kutembee na single mother kamwe watakuwa wanajichuja wenyewe. Wengi wasingle mother wanawaamini sana wanaume wanaovaa suruali zakitambaa, wanaovaa suruali juu yakiuno, nasifa nyingine kama hizo. So nawewe utakuwa katika hilo kundi
 
Kila shetani na mbuyu wake. Utakamatika tuu. WaPo waliojiita wasela nondo, wagumu lkn walilainika kama mkate kwenye chai. Mwanamke ana nguvu za ajabu
Hata mimi nikiri nilipo wafahamu wasela Nondo nifikiri ni bangi ndio zanawasumbua kumbe huwa kuna waliopitia situation hii
Kwakweli sijaona kabisa wakusema atanikamata kiboya sijui kama litawezekana hilo kwa hali yangu nilio nayo kwa kuwa sina maisha ya kueleweka sana itakuwa ajabu hii kutokea kushikwa hivyo
 
Ukitaka uwe unakataliwa na single mother hata kabla wewe ujajua kama ni single mother basi uwe unavaa modo, miregezo, yaani jiweke katika ile hali yaujana... Wallah utokuja kutembee na single mother kamwe watakuwa wanajichuja wenyewe. Wengi wasingle mother wanawaamini sana wanaume wanaovaa suruali zakitambaa, wanaovaa suruali juu yakiuno, nasifa nyingine kama hizo. So nawewe utakuwa katika hilo kundi
Ok japo wa huku ni vigumu kujua kwa sababu ukimuona huwa wapo kama wasichana vile
 
Mkuu kupiga puchu siwezi wakati natafuta hera ya nini hawa viumbe huwa nikiongea nao kwenye simu huwa nacheka na drama zao sijui wakiwa wa kweli watapungukiwa nini maishani Dah nihisi kuwalaumu walio nileta kwenye hii dunia ninayo ishi mimi najihisi mimi sio kama binadamu wengine wenye kufikiria kupanga mipango ikawa sawia hongera zao
Muone kiongozi wako wa kiroho
 
Back
Top Bottom