Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 94
- 171
deni la taifa mpaka sasa limekishwa kufikia asirimia 97 ambayo ni sambamba na sifa za mchi zisizo weza kukopesheka kwa baadae kama tu halito rejeshwa kwa wakati.
nini sababu za kukua kwa deni hilo. kuna sababu kadha wa kadha, na miongoni mwake ni kama;
01 Rais kukosa washauri wazuri na wazarendo kwenye eneo la kiuwekezaji.
02 Presha ya kutaka kufanya mambo mengi na makubwa kwa muda mfupi bira ya kuzingatia gharama za uwekezaji huo.
03 Ushawishi kutoka kwa mataifa ya ulaya na uarabuni kwenye suala ya mikopo.
04 Kiongozi kukosa weredi wa kiutendaji, kwa maana ya kwamba kuto wajibika katika kuchakata taalifa za kiuwekezaji anazo pewa na watumishi wake, kama vile mabarozi na mawaziri.
05 Hofu ya kisiasa, inayo radhimisha ofisi ya raisi kuingia katika matumizi yasiyo ya ladhima, ikiwa ni sehemu ya kutaka kuongeza ushawishi wa kisiasa kwa wananchi. ( kusafirisha wasanii nje za nchi, mgawo wa pikipiki za kampeni, manunuzi ya magori nk).