Mazingira niliyohisi nimepata ngoma..niliteseka hasaa!

Mazingira niliyohisi nimepata ngoma..niliteseka hasaa!

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,843
Wadau,

Maisha ya ujana na balee ni hatari sana...nikikumbuka kipindi hicho bado kijana mdogo hata kutongoza sijui...peer pressure na udadisi wa kujaribu mambo mapya hususan kugegeda ilikuwa juu sana...kwakuwa nilikuwa siwez au niseme sijui kutongoza (domo zege) niliishia kuwa mpiga nyeto wa daraja la kwanza...

Nakumbuka jinsi ya kupiga nyeto nilikuwa nasikia kwa wana wa umri wangu..lkn kidume nilikuwa hata cjui namna ya kufanya...the first day kupiga nilikuwa naoga zangu kama ilivyo desturi..lkn wakati naoga mashine ikasimama...kama ilivyo ada kwa wanaume wengi sabuni huishia kwenye vu.....zi ..wakati najipapasa kujiosha nikaanza kuhisi kama shoti ya umeme na utamu unakuja...kidume nikakazia hapo hapo..nilipiga bao moja matata...wakat nashusha mzigo nilipiga ukelele wa kizombi zombi na kupiga mweleka mmoja amazing...nilikwenda chini mzima mzima..raha niliyoipata haielezeki...basi ukawa ndo mchezo wangu..kutwa mara tatu kama dozi...nikimtamani demu lazima nikamtafune kwa hisia...wanaume wenzangu wanaelewa hii...tuachane na hili la nyeto..so far this was my escaping plan...

Basi pale mtaani mamanzi wengi walikuwa wananikubali kinoma...pengine kutokana na karangi na sura niliyochukua kwa mama ilichangia..lkn kijana ckuwa na ujasiri wa kujiongeza..nilikuwa mwoga mademu hatari...basi pale mtaani nilikuwa na ma brother wenyewe walikuwa na uzoefu zaidi yangu...na kulikuwa na manzi mmoja hivi alikuwa anauza pub...huyo manzi alikuwa ananipenda ile kinoma..washikaji wakanipanga na demu....though nilikuwa naogopa sana...hususan swala la ngoma..

Kwa bahati nzuri akasafiri kipindi hicho home nikabaki mwenyewe nyumba nzima.....basi hiyo ndio ilikuwa cku ya kijana kutolewa bikra..kuanza kula papu...chi for the first time...manzi baada ya kumaliza kufunga biashara yake mida ya saa 4 ucku...manzi akapitia home kama ilivyo kuwa mpango wetu..wakati huo mzee mzima natetemeka hatari ..yani nina hofu na curiosity ajabu..wala cjui watu wanafanyaje wakiwa na manzi...

Stay tuned ... .inaendelea....
 
Write your reply...Aisee😃
'Nimecheka huo mwereka wa bafuni

.....bora vyoo vyetu vya kilio...kipindi choo cha kulenga na bafu ndo hilo hilo...ilikuwa na ni hatari...lakni ndo teenagers tena
 
😂😂 mpaka nimeshindwa kuelewa ni mueleka wa aina gani huo wa kwenda chini mzima mzima! Mkuu au ulifikia hatua mpk ya kupaa ulivyoshusha kitu ndio kama kiwese kikakata hivyo ndege ya bafuni ikaanguka huku ikitoa mlio wa kizombi😂😂
 
😂😂 mpaka nimeshindwa kuelewa ni mueleka wa aina gani huo wa kwenda chini mzima mzima! Mkuu au ulifikia hatua mpk ya kupaa ulivyoshusha kitu ndio kama kiwese kikakata hivyo ndege ya bafuni ikaanguka huku ikitoa mlio wa kizombi😂😂
😂😂😂😂😂....unaonekana haujawah kupiga hii mambo...wakati unashusha mzigo mguu yote huwa inaishiwa nguvu...na ulimi unakuwa mzito for few second..
 
Hivi vi story vya kuandika afu unatoka huwa vinaudhi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] mpaka nimeshindwa kuelewa ni mueleka wa aina gani huo wa kwenda chini mzima mzima! Mkuu au ulifikia hatua mpk ya kupaa ulivyoshusha kitu ndio kama kiwese kikakata hivyo ndege ya bafuni ikaanguka huku ikitoa mlio wa kizombi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muda mwafaka wa kuendelea pale tulipo ishia.....
 
Mwendelezo wa pale tulipo ishia.....

Manzi alifika pale home…mzee mzima nikamfungulia mlango nyumba nzima nilikuw nipo mwenyewe…Binti akaomba maji ya kuoga kwanza sasa shida ilikuwa nyumba siyo self-contained means hatuna choo cha ndani…japokuwa byumba nzima nilukuwa mwenyewe lakini sikutaka by any chance manzi aonekane nje ya nyumba kuhofia wanoko wa mtaani,so ilibidi aoge ukumbini ambapo kulikuwa bado hakujapigwa sakafu…manzi baada ya kuoga huyo mdogomdogo na kanga yake mpaka chumbani kwangu.

Nakumbuka vizuri miaka ile ndo ule wimbo wa feruzi alimaarufu kwa jina la starehe ndio ulikuwa unapiga ghetto kwangu kwa mbaliiiiii mind you hapo tangu nizaliwe sijawahi kula papu..chi….gheto nilikuwa na tukochi tumoja na kitanda changu cha futi 6*4…mgegedo ulikuwa na experience kuliko mimi so mi nikawa kimya utafikiri mimi ndo naliwa…mapigo ya moyo wakati huo yapo speed ya turbo kijasho chembamba kinanitoka yani nilikuwa natia huruma.

Miaka ile cyo kila mtu alikuwa na access ya simu so wote tukawa tumekaa tu kama dakika kumi hivi…mimi mdomo mzito na mwenzangu ananisikilizia mimi nivunje ukimya..Manzi akaamua ajiongeze …kitaulo mbona umekaa mbali jamani sogea huku basi…mi nikajisomba mzima mzima mapaka pembeni yake ..binti alikuwa wa kizaramo wakati mimi ni kajana wa kanda ya kaskazini..

Manzi akaanza kuniuliza maswali ambayo ningetakiwa kumuuliza mimi…she was like kitaulo vipi wewe unapenda shanga au haupendi…mwenzangu alikuwa hajui kama mwenzake ghalaga bao hamna ninalo lijua Zaidi ya kupiga selfie…nikaishia kumjibu ndio napenda …binti wakati huo mikono yako ipo kwenye mabega yangu…mimi hofu ipo juu mwendo wa 5G…mzee mzima nikaanzwa kupapaswa utafikiri mimi ndo natafunwa hapo kumbe mpigaji nilikuwa mimi…likaja swali lingine dear ungependa kupiga bao ngapi …hapo kidogo kwenye kujibu haikuwa ngumu coz nishawahi kusikia washikaji wakisema huwa wanapiga bao 3..basi na mm nikamwambia bao tatu..

Kufumba na kufumbua kanga ikatupwa kuleeee binti akabaki kama alivyo zaliwa…nikajifanya na mm kama najua cha kufanya nikavua tshert yangu nikabaki na bukta tu..nikaanza tachi za uongo na ukweli..lakini kusema kweli kazi yote na maelekezo nilikuwa napokea kutoka kwa bibi dada…mara paap bniti akapeleka mkono ndani ya bukta na kumshika mzee mzima kichwa wazi…akanivua bukta..mengine aliyokuwa ananifanyia hata ckumbuki coz kama nilikata network hivi kwa sekunde kadhaa…binti akanipa kama green light kwamba tuanze mchezo …..nashukuru wana waliniambia nitumie kinga so mzee mzima kama mzoefu nikatoka pembeni na kuchukua zaga nivae…tatizo linakuja sasa najua kuvaa???…nilitumia kama dk 1.5 kuivaa lakni mwishowe nilivaa kama navaa soksi vile…nimkwea bi mdada…tatizo la pili najua hata pa kuiweka mgegedo sasa..nilihangaika kama sekunde kadhaa natafuta handaki…bibie akaona isiwe shida ukaushika mgegedeo na kuupekeka mwenyewe panapo husika….si unajua first time tena mzee mzima mwanachama hai wa CHAPUTA kipindi hicho…nilikuwa na mangari kama yote kwani kuna kitu nilifanya sasa…nilipiga tako mbili na robot u hata hiyo robo cjui kama nilimaliza nimeshamaliza hata kuendelea siwezi.nikatoka pale hata kabla cjavua soksi ilidondoka yenyewe maanake kalinywea kakabaki kadogoo…binti akanifuta tukapunzika huku mimi nalaani na kuanza kujutia nimefanya nini sasa na ile aibu ya atako nilizopiga.

Raundi ya pili ilianza baada ya mapunzinko ya kama one hour vile…this time mzigo ulisimama poa nikavaa ndom kama kawaida na kuanza kugegeda ila katikati ya mechi nikaanza kulose momentum na kama mgegedo ukaanza kunywea hivi…hapa ndo sehemu ambayo nilikuja kujutia.Manzi akaamua kuchomoa ndomu na kupeleka mzigo nyama kwa nyama…baada ya kuchomoa ndom utamu niliopata hapo najua mwenyewe..nilipiga tako zangu chache kabisa nkapiga cha pili na kumalizia humo humo …manzi akaoga akasepa zake kwa mihaidi ya kurudia mechi sikunyingine ……safari ya vitisho na manunguniko ndipo ilipo anziaa…baada ya wana kunitonya manzi anamoto…WAKATI MWINGINE WANA CYO WATU WAZURI KABISA



Tutaendelea ………ngoja nitafute ugali wa watoto kwanza
…...



 
Back
Top Bottom