Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,284
- 105,512
Mwandosya si sawa na Mtanzania hohehahe wa kawaida huyo.Mwandosya sio masikini
Kala ice cream za kina Einstein hapo Princeton Junction miaka mingi sana.
Mwandosya si sawa na Mtanzania hohehahe wa kawaida huyo.Mwandosya sio masikini
Na huyu jamaa utajiri wake ni wa halali so kama yule mporaji maarufu wa chato.
Hapa bado hekalu la Matema na plot kibao za hapo Matema,hapo hujaenda jijini Dar Es Salaam,Mbeya,TukuyuMwandosya sio masikini
Na muda mwingi mzee anaishi kwenye hekalu lake lingine lililopo Matema ufukweni.Maeneo mazuri sana hayo,ila ni lazima uwe na vipesa flani hivi,fikiria kuwa eneo kama hilo hata umeme wa Gridi hakuna si unaona ma panel ya solar huko juu,barabara nzuri ya kukufikisha mpaka hapo lazima uwe na uwezo wa kuitunza ili isigeuke kichaka,hilo eneo usilione linapendeza hivyo,shughuli yake ya kumaintain majani,miti na usafi lazima iwepo pesa,jiulize maji ya kutumia hapo yanatoka wapi maana inaonekana nyumba iko very isolated...
So?
Tuonyeshe passport size yako.
Na mmebanana huko kama Magomeni Mapipa!
Upo sahihi kabisa hatuwezi kumvumilia mtu anaezinguaMnyakyusa mnafiki huwa hayupo au ni wachache sana, na kama unakutana na mnyaki mnafiki ujue huyo amelaaniwa.
Mnyaki ukimkosea anakupasulia hapo hapo ili sumu imtoke mwilini na asibaki nayo.
Robo eka kubwa sana.Hilo ndio tatizo la Kilimanjaro, mtu anajenga mjengo wa maana kwenye robo eka. Hawezi kupata eneo kama hilo la Mark Mwandosya.
Bukoba wengi tumechoka. Achana na hzAcha kuharibu Uzi wa mwandosya wewe ma Dr na ma prof wengi njaa Kali na wanaendesha mikweche hawana hela, hafu usoni bila hela ni useless tu, na sikuhizi wasomi wako kibao na hakuna ajira. Wenye hela wafanyabiadhara so usiwe obssed na usomi na ma title hamna kitu pale, hafu hyo airport yenu hivi inapokeaga madege makubwa Kama Qatar, au ethiopian, maana sioni potential ya hcho kiwanja kuwa na international visitors compared to K. I . A
Nakumbuka kipindi Cha tetemeko, vijumba vya udongo vilikuwa vingi vimebakiwa na wazee pamoja na ndizi kunyauka, wahaya kwa kupenda sifa wako vizuri, sasa tetemeko na kuomba chakula wapi na wapi?Bukoba wengi tumechoka. Achana na hz
tambo za mitandaoni. Unakumbuka tetemeko lilivyotuaibisha? Nyumba za kichovu Kagera yote
Ikiwa kila aina ya ufisadi unaotokea, anayetuhumiwa ni waziri na wizara husika, how come ufisadi uliotokea wakati Mwandosya akiwa ndie waziri wa wizara husika leo hii unahoji baraza badala ya kuhoji waziri?Yalifanyika chini ya Baraza ipi la Mawaziri na Rais yupi?
Khaa! Haya ya watu tusizungumzie ufisadi uliopita yameanza lini hapa JF?! Sasa si tungemwambia mheshimiwa rais basi ndie aache kufukua hayo makaburi manake ni ya zamani hasa yaliyotokea wakati wengine ndo kwanza tupo sekondari!Mkuu jitahidi kutokuwa bised katika reporting.
Wazungu wanasema figures can lie, lakini liars can figure out.
Tukiamsha madudu na makaburi nani atapona?
EPA umewahi kuisikia?
Sema mtu unakuwa selective kwa vile unasukumwa na ajenda.
Tumeona boti la mabilioni la DSM-Bagamoyo, unaongelea vipi hapo?
Yale ya RADAR yanayomhusu marehemu Ben vipi?
Nyumba za serikai hadi leo ni kimeo hujawahi kusikia scandali hii?
Samaki wa kitoweo waliokaa kwenye freezer na kuingiza hasara za mabilioni je?
Kilio cha wananchi wa Kimara umekisikia?
Tusianzishe munkari zilizotulia, tuimbe tu chama chajenga nchi!!
Anzisha mada itakayoendana na hoja yako ya nyumba za serikali!Hivi nyumba za serikali ziliuzwa na nani vile?
Walifaidika mpaka wale wakenya wanaita mpango wa kando !
Nikumbushe tu!
Kwa kutetea ujinga
kwani we umeona ngapi!Je, huko kijijini kuna nyumba ngapi kama za Mwandosya?
PSRC by thenAlichangia pakubwa kuiua TTCL wakati wa Nkapa
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Dongo unalo hilo!Anzisha mada itakayoendana na hoja yako ya nyumba za serikali!
Mijitu minafiki ndivyo mlivyo!Khaa! Haya ya watu tusizungumzie ufisadi uliopita yameanza lini hapa JF?! Sasa si tungemwambia mheshimiwa rais basi ndie aache kufukua hayo makaburi manake ni ya zamani hasa yaliyotokea wakati wengine ndo kwanza tupo sekondari!
Ijibu hojaDongo lipi wakati unaonesha uzuzu wa SGR! Hoja Mwandosya, wewe unaleta habari za nyumba! Hicho kichwa chako kina akili au makamasi?
Povu la nini tena?! Mbona ume-panic? Wewe ni mke, nyumba ndogo au housegirl wa huyo mzee?! Kwa ninavyoona, jitu linafiki wewe ni mshenzi uliyelaaniwa unayemetetea huyo mumeo/basha wako.