Mazingira haya ya Profesa Mark Mwandosya ndio uchumi wa kati wenyewe vijijini

Nimesoma huko, mahali ilipokua shule niliyokuwa nasoma enzi hizo High school ni jirani kabisa na kwake yani nimwendo wa dak 4 tu kufika kwake...kuna wakati maji yalikua yakikatika cshuleni tulikua tunaenda kuchota hapo kwake...Nakumbuka hata wale wapenda soka tulikua tukitoka kwenye michezo hapo kwake alikua na mabafu ya nje wanafunzi tumeoga hapo sana kipindi hicho bado yuko serikalini.....Hapo ni kijiji vha Lufilyo Kata ya Busokero..tukuyu huko ndani sana...
 
Maeneo mazuri sana hayo,ila ni lazima uwe na vipesa flani hivi,fikiria kuwa eneo kama hilo hata umeme wa Gridi hakuna si unaona ma panel ya solar huko juu,barabara nzuri ya kukufikisha mpaka hapo lazima uwe na uwezo wa kuitunza ili isigeuke kichaka,hilo eneo usilione linapendeza hivyo,shughuli yake ya kumaintain majani,miti na usafi lazima iwepo pesa,jiulize maji ya kutumia hapo yanatoka wapi maana inaonekana nyumba iko very isolated...
Maji yapo 24/7 alafu huko maji ni bureee maana system ya mabomba wameconnect kutoka milimani huko...maji ya kule huna haja ya kuchemsha ni ya baridiii na safi kabisa, tulikua tunakunywa bila kuchemsha...umeme upo huko miaka mingi nyuma
 
Maeneo mazuri sana hayo,ila ni lazima uwe na vipesa flani hivi,fikiria kuwa eneo kama hilo hata umeme wa Gridi hakuna si unaona ma panel ya solar huko juu,barabara nzuri ya kukufikisha mpaka hapo lazima uwe na uwezo wa kuitunza ili isigeuke kichaka,hilo eneo usilione linapendeza hivyo,shughuli yake ya kumaintain majani,miti na usafi lazima iwepo pesa,jiulize maji ya kutumia hapo yanatoka wapi maana inaonekana nyumba iko very isolated...
Na usafiri lazima uwepo
 
Hapa ni kama umekuja kutuonyesha tu jinsi alivyotupiga akiwa madarakani, na wala hakuna uhusiano wowote na uchumi wa kati. Sema kila mtu aliyeko hapa Dar naye awe waziri kwanza kwa muda wa miaka 10, kisha ndio arudi huko kijijini. Kwa Mwandosya kurudi kijini ni sawa maana ana kila kitu, na yumo above 70.

Mkuu siyo kila anayeishi maisha mazuri ni mpigaji.
 
55 Reactions
Reply
Back
Top Bottom