Mazingira Bora, maisha safi

Pedeshee212

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
67
Reaction score
57
Kuhusu Sisi
MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden & landscaping), pamoja na house molding. Tunalenga kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, kwa wakati na kwa viwango vya kitaalamu ili kuboresha mwonekano, usalama na thamani ya majengo na mazingira ya wateja wetu. Kaulimbiu yetu ni: "Tunajenga ubora, tunatunza mazingira yako."
 

Attachments

  • file_00000000e6fc71f4a6b4ed60a0edc064.png
    2.1 MB · Views: 1

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…