The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,226
Mazingaombwe ni dark art au uchawi mweupe yaani white magicUkijifunza utaweza na pengine hata kumzidi huyo mwamba aliyekushangaza.. Huo sio Uchawi. Mazingaombwe ni Magic; Uchawi ni Witchcraft.
Hakuna uchawi hapo ni ujanja tu wa kuwazidi akili.Wakati niko shule ya msingi Nyakabungo mwanza alikuja mwana mazingaombwe mmoja,kwa macho yangu nilishuhudia mfuko mtupu ambao ulikung'utwa na nilijiridhisha haukuwa na kitu chochote ndani jamaa yule aliuwekea makaratasi tupu ambayo niliyachana kutoka kwenye daftari langu ambalo nilikuwa sijaliandikia chochote na mara baada ya kumwaga chini makarasi yale zilitoka blue blue tupu yaani noti za elfu kumi elfu kumi maana kipindi kile zilikuwa za blue.Mpaka leo huwa najiuliza maswali kama kaweza kufanya uchawi wa kugeuza karatasi kuwa pesa ameshindwa nini kutoa nyingi za kutosha ili azitumie mwenyewe na badala yake alituchangisha wanafunzi shiling hamsini hamsini za kutazama onesho lake!!???
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Mazingaombwe ni dark art au uchawi mweupe yaani white magic
Mkuu; hakuna cha eti ni mwiko wowote au nini. Wala huko PM siji/siendi. Naweka hapa👇👇Toa codes kuhusu hiyo elimu.
Au kama ni mwiko kuweka hadharani njoo PM unipe tips kidogo.
Mkuu usiwe mbishi mbinu zote za mazingaombwe huwa zinafanana na huwa zinasambaa duniani kote,ukienda America utazikuta,ukienda India utazikuta na ukija Africa utazikuta mbinu hizo hizo.N
Ndo ubaya wa kumwelewesha mtu ambaye anaangalia Mazingaombwe youTube.
Hiyo ndizi ilishikwa na Mwanafunzi na ilikuwa nzima kabisa.
Kuna baadhi ya Mazingaombwe kweli ni tricks ila mengine yamevuka ukomo.
Kuna elimu au Ujuzi wa magic na unafundishwa ukitaka sema tukupeleke kwa mtaalamWiki mbili zilizopita kuna Kijana (Jina kapuni).
Alipigwa 100k.
Kwenye mchezo huo kulikuwa na kete tatu moja ilikuwa na picha na ziingine mbili hazikuwa na picha, Sasa Bwana si dogo alijichanganya alipigwa za uso. Cha kushangaza ukiwa mpenzi mtazamaji unaona kabisa ile pale yenye picha ila ukijitosa utaimba HALLELUJAH.
Tuacheni na hilo tukio katika maisha yangu mpaka sasa nimeshuhudia Mazingaombwe mbalimbali.
Mwana-mazingaombwe kutafuna wembe na kutoa sindano mdomoni, Mwana-mazingaombwe kugeuza karatasi kuwa biscuits, Kuna ile ya kuvuta pikipiki kwa shingo (Sina hakika kama zile ni nguvu za wahusika au ni Mazingaombwe), Kuna nyingine iliyonishangaza pia Mwana-mazingaombwe alisimama kama mita tatu kutoka kwa Kijana aliyebeba ndizi ila cha ajabu Mwana-mazingaombwe akiwa ameshikilia kisu aliweza kukata ndizi kwa distance hiyo.
Ningependa tujadili hii WanaJamiiForums.
Je, Hii ni elimu gani? Inafikirisha.
Kiranga , Infropreneur
Ni tricks ndio ushawah ona mtu anakatwa kichwa live kinatengwa na Anaongea?Kha! Mkuu unapenda nikufundishe japo kidogo kile ninachafahamu cha Mazingaombwe??? Ndizi Ilikuwa nzima kivipi? Nimekuuliza: Uliikagua kabla? No reply. Nikakuuliza tena: Nani alileta hizo ndizi? No reply. Halafu mwisho nikuulize: Unafahamu uhusiano baina ya huyo mwanafunzi na mwonesha mazingaombwe na ilivyopatikana hiyo ndizi? Nadhani hapo utaweza kupata walau mwanga kidogo. Mathalani mm ninaweza kusoma makaratasi mliyoandika nikiwa sipo tena mkayakunja-kunja say watu 30 kwa kutumia kisogo changu. Ni vi-tricks vya kijinga tuu hakuna lolote na kila mtu anaweza kufanya Mkuu.
Dah imebidi baada yakukusoma nkamtafte. Jamaa anabalaaKunq huyo mwamba wa kuitwa chriss angel, mmarekani huyu, kama ni mazingaombwe basi labda yalizaliwa kwao, huwa ananiacha mdomo wazi.
Mkuu; wewe ni mdadisi sana. Kongole. Unataka uitumie kujipatia maokoto? Nimesema hapo juu PM siji naweka hapa-hapa hadharani ujinga/ujanja unaotumika:Toa hiyo elimu kuhusu namna unavyoweza kusoma majina yaliyokunjwa kwenye karatasi au kama haupo willing kuiweka public nicheki PM. Mana nipo interested walau kujua baadhi ya tricks.
Napenda kujifunza vitu vipya kila siku.
Ndio -tena sio mara moja. Jitahidi uhudhurie Maadhimisho ya kitaifa au kikanda(maonesho) e.g. Nane-Nane pale Uwanja wa Themi Arusha au Sabasaba pale Dodoma. (Hicho kichwa huwekwa kwenye beseni na kuzungushiwa pamba au kitambaa cheupe -ujiulize why ? si angekatwa kama kuku tu halafu aachwe hapo?? .Ukienda kwenye matamasha au maadhimisho ya Kitaifa Utaweza kubahatika kuona. Yapo pia maonesho ya Mtu anakatwa panga kichwani hadi linazama nusu ya kichwa au mtu anachomwa kisu ubavuni hadi kinatokeza upande wa pili na damu imevuja nyingiNi tricks ndio ushawah ona mtu anakatwa kichwa live kinatengwa na Anaongea?
Kama mpaka hapo hajaelewa basi tena: Case dismissed. Cooooooourt.Mkuu usiwe mbishi mbinu zote za mazingaombwe huwa zinafanana na huwa zinasambaa duniani kote,ukienda America utazikuta,ukienda India utazikuta na ukija Africa utazikuta mbinu hizo hizo.
Hiyo ndizi kama alikuja nayo mwenyewe kuna namna inakuwa imechokonolewa kwa ndani,na nje pia inakuwa ishakatwa halafu inaunganishwa na gundi yenye rangi sawa na ndizi ili kukuzubaisha wewe usione kitu.
Ukitaka kujua hilo siku ukiwaona waambie unakuja na ndizi yako mpya kutoka gengeni waifanyie kazi kama watakubali
Itakuwa ni yeye ndiyo issue kaifungulia thread.Huyo aliepigwa 100K ni wewe
Uko sahihi,pia hata wale waganga wa kienyeji wa mjini wengi wanatumia mbinu kama hizi za wanamazingaombwe kuwarubuni watu ila wengi wao hawana dawa yoyote na wala hawajui chochote kuhusu tiba.Wachungaji wengi tu mbona Ni wanamazingaumbwe si mkawaulize!
Na kuna mtu anafundisha hayo mambo yupo pale mkata njia panda ya kwenda kwa msisi tanga!
Ningependa tujadili hii WanaJamiiForums.
Dogo hujawahi kuona Mazingaombwe kakojoe ulale.Mkuu usiwe mbishi mbinu zote za mazingaombwe huwa zinafanana na huwa zinasambaa duniani kote,ukienda America utazikuta,ukienda India utazikuta na ukija Africa utazikuta mbinu hizo hizo.
Hiyo ndizi kama alikuja nayo mwenyewe kuna namna inakuwa imechokonolewa kwa ndani,na nje pia inakuwa ishakatwa halafu inaunganishwa na gundi yenye rangi sawa na ndizi ili kukuzubaisha wewe usione kitu.
Ukitaka kujua hilo siku ukiwaona waambie unakuja na ndizi yako mpya kutoka gengeni waifanyie kazi kama watakubali
Wewe mtoto wa 2000 usilete usela mavi pinga kwa hoja usilete ujuaji wa kipumbavuDogo hujawahi kuona Mazingaombwe kakojoe ulale.
DadeQ nicheke tu🤣🤣Wewe mtoto wa 2000 usilete usela mavi pinga kwa hoja usilete ujuaji wa kipumbavu