Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,196
- 1,846
We unaweza fanya hizo tricks?Mind games
Trik tu
Kutafuna wembe na kutoa sindano mdomoni nayo ni trick?We unaweza fanya hizo tricks?
Yeah niki_practice mbona mambo fresh tuWe unaweza fanya hizo tricks?
Weka hizo CODES kwa ajili ya watu wa humu ndani ili wasiibiwe wala kudanganywa kimazingara.Kuna codes ukishazifahamu ,utachezea vichwa vya watu sana 🙌
Hii inakuwaje Mkuu, Maana dogo alipigwa 100k na hao wahuni.Hiyo ya kete zenye picha hata sio mazingaombwe
Yeah niki_practice mbona mambo fresh tu
Mazingaumbwe yamegawanyika mara mbiliSawa,.Lakini nauliza ni elimu gani Ile?
Kwanini mtu awe kama amepumbazwa?
Lakini hata online inawezekana.. We unakaa wapi?nisanaa ya akili yajuu naweza kukufunza kama unaweza kuja ofsini kwangu naukatenga muda haswa wakujifunza maana nipo busy sana.hutalipia chochote.
world is not my home.
Acha kabisa sijui dogo alipumbazwa.Mazingaumbwe live haina tofauti sana na online casino games, tofauti ni Moja imezubaa nyingine imechangamka.
Aina hii ya michezo kaa nayo mita 1000.
Ukijifunza utaweza na pengine hata kumzidi huyo mwamba aliyekushangaza.. Huo sio Uchawi. Mazingaombwe ni Magic; Uchawi ni Witchcraft.We unaweza fanya hizo tricks?