We weka akili yako kwenye masomo,hao watoto wa kike wapo sana tu utawakuta huku kitaa wamejaa tele,wala hata usihangaishe akili yako kukaa unamuwaza.
soma wewe
kuna msichana alikua mtu wangu kwa miaka kadhaa iliyopita na nilikuja tengana nae baada ya yy kunibwaga kwa madai kwamba alikua anapoteza muda kwa kuwa na mm.Kwa kweli niliumia sana coz nilikua nikimpenda kwa dhati but niliamua kuachana nae na kuendelea kukomaa na kitabu,cha kushangaza msichana yuleyule aliyenikataa kwa kinywa chake kanifungia safari na kunifuata chuoni halafu ananiomba msamaha 2rudiane.HEBU 2SAIDIANE MAWAZO WANA JF
Take her back ,kuna msichana alikua mtu wangu kwa miaka kadhaa iliyopita na nilikuja tengana nae baada ya yy kunibwaga kwa madai kwamba alikua anapoteza muda kwa kuwa na mm.Kwa kweli niliumia sana coz nilikua nikimpenda kwa dhati but niliamua kuachana nae na kuendelea kukomaa na kitabu,cha kushangaza msichana yuleyule aliyenikataa kwa kinywa chake kanifungia safari na kunifuata chuoni halafu ananiomba msamaha 2rudiane.HEBU 2SAIDIANE MAWAZO WANA JF