Car4Sale Mazda Verisa AKa Dogo Janja

Car4Sale Mazda Verisa AKa Dogo Janja

Samatime Magari

Senior Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
139
Reaction score
505
MAZDA VERISA L 2011 MODEL Fresh Import Ndo Imefika na MELI [WISODOM ACE] ndo inashusha KM 80,400 CC 1490 AT Petrol 2WD Price 17.7M + Usajili, Picha zaidi na Final OFA Contact 0714547598
WhatsApp Image 2026-05-07 at 8.57.00 AM.jpeg

WhatsApp Image 2026-05-07 at 8.57.01 AM.jpeg

WhatsApp Image 2026-05-07 at 8.57.05 AM.jpeg
WhatsApp Image 2026-05-07 at 8.57.08 AM.jpeg
WhatsApp Image 2026-05-07 at 8.57.06 AM.jpeg
WhatsApp Image 2026-05-07 at 8.57.04 AM.jpeg
WhatsApp Image 2026-05-07 at 8.57.03 AM.jpeg
 
Kuna option za used Bongo Mzee zinakua bei chini zaidi
Kununua gari used - 3rd Hand Bongo ni kujitakia pressure ,ni mara mia nichukue gari lilitembea miaka 10 JAPAN kuliko lililotembea miaka miwili Bongo kwa same model.....Bongo miundombinu na services ni mitihani tofauti na kwa wenzetu miundombinu imara na services ipo kisheria.
 
Nakubaliana na wewe 100% ila kuna raia pia wanatunza magari vizuri sana hapa nchini hata wakiyatumia yanakua bado katika hali nzuri
 
Utalitunza fresh ila Miundombinu itakuangusha itakuwa Trip Road Trip Gereji Mikono Mingi daily linaharibu ubora na ndiyo maana mafundi wetu wakiona kitu kimepigwa sana Spana wanajua hamna kitu hapo.
 
Kununua gari used - 3rd Hand Bongo ni kujitakia pressure ,ni mara mia nichukue gari lilitembea miaka 10 JAPAN kuliko lililotembea miaka miwili Bongo kwa same model.....Bongo miundombinu na services ni mitihani tofauti na kwa wenzetu miundombinu imara na services ipo kisheria.
Kabisa mkuu, nilivagaa gari moja used hapa bongo Ila ni latest model ukilinganisha na nyingi zilizopo hapa bongo… mjomba richa ya uimara na sifa tele ilizonazo ile gari ila niliishia kuacha pesa nyingi garage hadi akatokea mteja alieipenda nikamuachia maana hata body yake bado inaita ila parts nyingi ni changamoto zimechoka imekuwa ni za kubadilisha kila leo.
 
Duh ndio mkuu bongo nyoso bora ukomae tu uagize used ya Japan sio bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom