Mazda CX 5 inanifilisi!

Ukuwa tayari kumiliki gari kama hizo.

"kiwa ungekuwa unatumia magari ya Ulaya kama Mercedes Benz au BMW, basi betri pekee inaweza kuwa si chini ya laki 7, hasa ikiwa ni brand ya Bosch.
 
. Service natumia oil Castro 5w30 gharama za kila kitu service nayo kizunguzungu huna laki 7 hujafanya service.
Hapo wamekupiga vibaya Sana.. Service ya kawaida haifiki au haizidi laki 2
 
Taa pia umepigwa parefu Sana

Mazda CX-5 2015 headlight prices in Tanzania vary, with new headlights potentially costing around TSh 780,000 or more (per piece
Hiyo ni bei ya madalali mtandaoni.. Kwa dealers haizidi usd200.
 
Hivi hii gari ni mbovu au matunzo? Ile Atenza yako ilikuwaje?
Matunzo na Matumizi mi naweza sema. Mfano ikijaga ishu ya DPF ni matumizi. Short trips nyingi inapelekea kuclog na ndio series ya matatizo mengine inakuja.

Atenza iliuzwa baada ya kupunguza trips za highway. Nilikua kwa mwezi kama sijatoka naipeleka atleast Bagamoyo mara moja.
 
Hizi haziwezi kufanyiwa DPF delete?
 
Fresh kabisa. Unafanya DPF na EGR removal. Ila kuna hasara kidogo sa sijui ni ufundi zinatoa sana moshi.
kaka vp kwema ?samahan ntapata mawasiliano yako inbox nlitak tuoge swala moja directry kuhusu gali... maana nmekutumia message inbox inakataa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…