connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,908
Wabongo wakielezea ujinga na uzembe wao ndiyo wanajiona wajanjaBado hujaonyesha ubovu wa hiyo gari.
Zaidi umeonyesha uzembe wako.
1.5m mbona matengezo ya kawaida kabisa, and pili hilo gari sio bovu, pambana acha kulia lia1. Wakuu niliagiza Mazda CX 5 (diesel) August 2024 baada ya mwezi na nusu ikawa imeshafika bongo.
2. Nikajipinda nilkaitoa bandarini. Mziki umekuja kwenye kui-maintain daah msala. December nilienda nayo kijijini sasa kule Barabara zetu sio nzuri siku ikanyesha mvua tope kama lote barabaran kulazimisha kupita gari ikaserereka hadi kwenye mti puu Taa ya upande wa dereva ikapasuka, kuulizia bei 1.5m TZS! Mpaka Leo taa nimeunga na gundi.
** Nipo safarini ila ndinga hii inanifikirisha Sana.
nili taka niku tag ili unwambie gari za mabalozi yeye ana enda kuchezea kwenye tope, lazima kimrambe🤣😂Bado hujasema, kama gari ni 30 million plus umeweza kuilipia. Sioni ugumu wa wewe kuweza kuinunulia taa ya 1.5M
Pole sana mkuu1. Wakuu niliagiza Mazda CX 5 (diesel) August 2024 baada ya mwezi na nusu ikawa imeshafika bongo.
2. Nikajipinda nilkaitoa bandarini. Mziki umekuja kwenye kui-maintain daah msala. December nilienda nayo kijijini sasa kule Barabara zetu sio nzuri siku ikanyesha mvua tope kama lote barabaran kulazimisha kupita gari ikaserereka hadi kwenye mti puu Taa ya upande wa dereva ikapasuka, kuulizia bei 1.5m TZS! Mpaka Leo taa nimeunga na gundi.
** Nipo safarini ila ndinga hii inanifikirisha Sana.
Angekua na rav 4 au Suzuki Escudo unadhan bei ya taa ingekua 1.5m?Sasa hapo kosa au shida ni gari au ni wewe mzee? Yaani userereke uingie kwenye korongo paah gari ivunje taa useme shida ni gari?🤔
1. Wakuu niliagiza Mazda CX 5 (diesel) August 2024 baada ya mwezi na nusu ikawa imeshafika bongo.
2. Nikajipinda nilkaitoa bandarini. Mziki umekuja kwenye kui-maintain daah msala. December nilienda nayo kijijini sasa kule Barabara zetu sio nzuri siku ikanyesha mvua tope kama lote barabaran kulazimisha kupita gari ikaserereka hadi kwenye mti puu Taa ya upande wa dereva ikapasuka, kuulizia bei 1.5m TZS! Mpaka Leo taa nimeunga na gundi.
** Nipo safarini ila ndinga hii inanifikirisha Sana.....
Tofautisha UBOVU na KUFILISI. Sijazungumzia UBOVU Bali ughali wa vifaa vya CX 5 (Taa kubwa ya mbele 1.5m tofauti na gari nyingi za ukubwa zinazofanana)Bado hujaonyesha ubovu wa hiyo gari.
Zaidi umeonyesha uzembe wako.