Mazda CX 5 fuels consumption (petrol)

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
609
1,007
Wakuu habari

Nataka jua ulaji wa mafuta wa hizo gari hasa za petrol mana naona wadau wanasifia sana Mazda hasa ulaji wa mafuta.

Nataka pata uhakika hasa kwa wanaomiliki ndinga za mazda hasa Model ya CX 5
 
Watu wengi kuuliza maswali ni changamoto aiseeee,

Kwa hiyo Mazda CX 5 zote za petrol zina engines sawa, zina gearbox sawa na zina transfer case sawa?

Swali lako lipo Too general.

Kama mtu atakujibu atakujibu kulingana na gari yake. Na CX5 zote hazifanani.
Ukiona hivyo ujue hafahamu vizuri
Hivyo ikipendeza mkuu umsaidie
 
Wakuu habari

Nataka jua ulaji wa mafuta wa hizo gari hasa za petrol mana naona wadau wanasifia sana Mazda hasa ulaji wa mafuta.

Nataka pata uhakika hasa kwa wanaomiliki ndinga za mazda hasa Model ya CX 5

Uzoefu wangu na hizi gari ni wa kusoma reviews na kwenye mitandao. Skyactive technology inaonyesha kama inafanya kazi kwenye upande wa ulaji wa mafuta
Lakini ambayo ni economical kabisa (kuliko hata gari nyingine nyingi za class yake) ni ya diesel 2.2. Ila engine ya diesel ina changamoto zake nyingine ambazo kwa sasa zina tiba pia
Engine ya 2.0 Petrol nayo wanasema ina consumption nzuri ila si kama ya diesel 2.2, ila consumption ni nzuri kuliko engine nyingi za kampuni nyingine zenye ukubwa huo.
Engine ya 2.5 petrol haina consumption nzuri katika hizo 3 ila ni powerful kama ya diesel.
Engine ya diesel inakupa overall perfomance nzuri ila petrol ni more reliable
 
Kwa fuel consumption Mazda CX5 petrol engine town trip inakupa 12km per litre na 15 to 16 per litre kwenye highway
Vilainishi engine oil ni SAE 0w 20 usiweke oil za ajabu ajabu.
Bei zake zimechangamka tofauti na za diesel wajuzi wa mambo wanasema za petrol ni nzuri zaidi kuliko diesel maana kwa mazingira yetu yenye mafuta na vilainishi vingi visivyoleweka ni bora kuwa na CX5 petrol, nyingi zinazopatikana sokoni kwetu ni hzi za 2.0 za 2.5 ni hzi latest second generation ambazo bila milioni 80 hadi 100 hujainunua kiukweli kwa bongo sijakutana nayo njiani
 
Masoko tunayo access sisi hizi za petrol kuzipata ni tabu sana. Ila hizi za 2.0 kama ni mtu wa town sana inafaa.
Hizi second gen zipo bongo ila ni chache na unaweza ukapata kuanzia chini kidogo ya mil 70. Ila zioo refined kidogo (hasa wind noise ndani) na body n.k. Nimeona bongo kama mbili hivi. Ni mshindani wa harrier 3rd gen na rav 4th na 5th gen
 
Watu wengi kuuliza maswali ni changamoto aiseeee,

Kwa hiyo Mazda CX 5 zote za petrol zina engines sawa, zina gearbox sawa na zina transfer case sawa?

Swali lako lipo Too general.

Kama mtu atakujibu atakujibu kulingana na gari yake. Na CX5 zote hazifanani.
Ok kaka ndo utupe ufafanuz hizo za petrol na dizel zinatofautiana nn hasa
 
Kwa fuel consumption Mazda CX5 petrol engine town trip inakupa 12km per litre na 15 to 16 per litre kwenye highway
Vilainishi engine oil ni SAE 0w 20 usiweke oil za ajabu ajabu.
Bei zake zimechangamka tofauti na za diesel wajuzi wa mambo wanasema za petrol ni nzuri zaidi kuliko diesel maana kwa mazingira yetu yenye mafuta na vilainishi vingi visivyoleweka ni bora kuwa na CX5 petrol, nyingi zinazopatikana sokoni kwetu ni hzi za 2.0 za 2.5 ni hzi latest second generation ambazo bila milioni 80 hadi 100 hujainunua kiukweli kwa bongo sijakutana nayo njiani
Zipo napishana nazo ingawa sio kwa wingi ila zipo.
 
Mazda CX-5 2WD 2.0 petrol engine fuel efficiency- 6.6L/100km

Mazda CX-5 AWD 2.5 petrol engine fuel efficiency- 9.0L/100km
 
Back
Top Bottom