Allahu akbar! Viva Boko Haram,viva alshabab,viva alqaida.Ndugu zako wewe na nani?
Tulishawaomba sana evidence lakini hamleti mnabaki kupiga kelele tuu na kutukana.
Ingia Aljazeera uone Hamas wanauwa wanajeshi huko sio mnaongea na kushabikia watoto/civilians kuuawa
View attachment 2882616
Mazayuni wanazuia Misaada kuingia Ghaza
View attachment 2882617
Source: Aljazeera
Ila naishikuru sana TPDF kwa namna inavyoshighulika nayo hayo magaidi huko Mtwara hasahasa Nanyumbu na Newala.Tanzania ina mifumo thabitiAcha magaidi yashughulikiwe, hakuna kuyaonea huruma hadi dunia ibaki salama.
Tangu yawaue ndugu zetu akina Moleli acha yapigwe tu hakuna namna.
Hiyo aljazeera unaiangalia wewe peke yako?Ndugu zako wewe na nani?
Tulishawaomba sana evidence lakini hamleti mnabaki kupiga kelele tuu na kutukana.
Ingia Aljazeera uone Hamas wanauwa wanajeshi huko sio mnaongea na kushabikia watoto/civilians kuuawa
Hiyo aljazeera unaiangalia wewe peke yako?