Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,865
- 2,209
Mazayuni wanazuia Misaada kuingia Ghaza
Source: Aljazeera
Safi ngoja mnyookeWee Unafikili Vita Mchezo Mchezo Wanatakiwa Mpaka Wanyooke Kabisa Dawa ya Jeuri kiburi
Acha magaidi yashughulikiwe, hakuna kuyaonea huruma hadi dunia ibaki salama.
Tangu yawaue ndugu zetu akina Moleli acha yapigwe tu hakuna namna.
God Bless Israel
Daaah! Umenikumbisha mauwaji ya Joshua...kupitia ule wimbo wa kigaidi wa Allahu akbar
Ukishirikiana na mazayuni kuua wapalestine unatakiwa ufyekwe tena mapema sanaaaaaaaaDaaah! Umenikumbisha mauwaji ya Joshua...kupitia ule wimbo wa kigaidi wa Allahu akbar
Hao magaidiUmeumia ya Kina Mollel ila ya watoto/civilians kuuawa huumii, aise mna roho gani enyi wayahudi weusi!
Hao magaidi
Wazayuni wanajua kuna kontena za singe zinaingiaGod Bless Israel
Alshabab au ALQAIDA au Boko Haram?Hao magaidi
hahaha wapo mashimon wenzioHamas kamatieni hapo hapo magaidi wa israhell na kizayuni tunajua wanataka kuwatia khofu raia wema wa ghaza ila mwaka huu mpaka bungo litemwe
kama unaeza mkana Mollel bas unafaa kuitwa SubHumanNdugu zako wewe na nani?
Tulishawaomba sana evidence lakini hamleti mnabaki kupiga kelele tuu na kutukana.
Ingia Aljazeera uone Hamas wanauwa wanajeshi huko sio mnaongea na kushabikia watoto/civilians kuuawa
IsrahellAlshabab au ALQAIDA au Boko Haram?