Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,619
- 31,161
Muangalieni huyuHakuna vita mbaya duniani kama mapigano ya mtaa kwa mtaa ( sreet fighting), hasa kama adui yako anafanana na raia.
Israeli ndiyo nchi ya kwanza duniani yenye mbinu bora zaidi ya mapigano ya aina hiyo.
Hata hivyo, Hamas ni jeshi kubwa lililokuwa na uwezo wa mbinu nyingi, silaha lukuki, nk. Ila kwa sasa ni kwishney. Ni wiki ya tatu sasa bila kuona rocket au guided missiles zozote zikirushwa kutoka Gaza kwenda Israel.
Haya hamas ipo namba ngapi kwenye takwimu zao
Ila kama hujui jana tu hapo rockets zimerushwa kuelekea israhell
Tena hazijatoka popote zimetoka pale pale kaskazini ambapo ndio mpakani kabisa na utawala haramu wa kizayuni wa israhell
Sasa sijui unasema wiki tatu zipi?