Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Mkuu kama utakuwa umewasoma vizuri....Manny camp wamekasirika kwa sababu jamaa (Mayweather) ndio ameraise hiyo ishu...kama ingekuwa ni normal procedure wala kusingekuwa na mikwaruzo....Kama huyo Manny hatumii Juice anaogopa nini kufanya blood test ambayo ni ya dakika chache tu!? Tunataka a true champion ambaye hatumii madawa ili kujiongezea performance. Kwenye malipo ya $10 millioni au zaidi wengi wasingelalamika ili kuvuruga hili pambano linalosubiriwa sana na wapenzi wa masumbwi duniani. Kulalamika kwake kunaashiria kwamba anaogopa kitu kwa kuwa anajua juice ni kama kazi ndani ya mwili wake, vinginevyo hii ya kufanya blood test haistahili kuwa issue kabisa.
He is running scared or trying to play mind games like Sir Fergie.....
Mkuu kama utakuwa umewasoma vizuri....Manny camp wamekasirika kwa sababu jamaa (Mayweather) ndio ameraise hiyo ishu...kama ingekuwa ni normal procedure wala kusingekuwa na mikwaruzo....
Tatizo ni kwamba taratibu za kawaida ni rahisi kuficha kama unatumia hayo madawa ya kuongeza nguvu. Unakuwa unajua kabisa wanafanyaje na wanaangalia vitu gani. Halafu kwenye taratibu za kawaida wanapima mkojo. Olympic style testing wanapima damu na ni USADA ndio wana administer hizo testing. Hawa jamaa ni kiboko. Huwezi kuficha kitu mbele yao na ndio maana huyo Mfilipino kaja juu maana anajua kuwa mbele ya hao USADA ataumbuka!
Ooh nawajua hao federal mkuu...Lakini imekuwaje ikawa fight hii tu ndio inakuwa ishu lakini?? Mbona Mayweather alikataa kupima uzito wa mara ya mwisho katika fight yake ya mwisho? Na hakuna aliyempigia kelele aliposhinda? Rules play both sides....
Tatizo ni kwamba taratibu za kawaida ni rahisi kuficha kama unatumia hayo madawa ya kuongeza nguvu. Unakuwa unajua kabisa wanafanyaje na wanaangalia vitu gani. Halafu kwenye taratibu za kawaida wanapima mkojo. Olympic style testing wanapima damu na ni USADA ndio wana administer hizo testing. Hawa jamaa ni kiboko. Huwezi kuficha kitu mbele yao na ndio maana huyo Mfilipino kaja juu maana anajua kuwa mbele ya hao USADA ataumbuka!
Mkojo tu unatosha kumgundua mtu ambaye anatumia steroids, hakuna haja hata ya damu, there is no way hizo steroids zinaweza pita kwenye liver na kidney afu zisionekane kwenye mkojo- Fact!
Na suala la msingi hapa ni kwamba Manny hajakataa kufanya hiyo blood test, akikubali tests ziwe administered na USADA ni kwamba anakubali hao jamaa wamtoe damu as much as they want! Hii style ya olympic hata Bolt mwenyewe aliwahi kuilalamikia.
Hapana ndugu. Test za mkojo hazionyeshi kila kitu. Halafu ni rahisi sana ku flush system yako na ukapita test ya mkojo. Mbona watu wanafanya kila siku bana....hata wavuta bangi na watumia methamphetamine wakienda kuomba kazi huwaga wana flush system zao na hiyo so called drug testing ikirudi wako clean kabisa. Test ya mkojo ni joke!!
Anachotaka Floyd ni kitu ambacho hakipo kwa taratibu na sheria za ngumi za Nevada, who does he think he is hadi aamue kutunga sheria mpya? kuanza kuleta mambo ambayo yako nje ya taratatibu. He is a challenger in this and not the champion, anatafuta sababu za kutufanya tusione huu mpambano.Well, si wote wawili (Manny na Money Mayweather) wata submit kwenye hizo test? Kwani nani kasema itakuwa ni Manny peke yake? Kwa vile wote wawili wata submit sioni ubaya wowote maana wote watakuwa kwenye level playing field. Sasa kama mmoja kakubali na mwingine anakataa lazima kwa yule anayekataa anacho cha kuficha! Kama hana akubali kwa sababu si yeye tu atakayepimwa
Soma haka kapengele nilikokaokota mtandaoni.....
New York-based athletic physician, Dr. Keith Pyne, a private injury consultant for NFL athletes and those who participate in running and combat sports, told AOL Fanhouse, "I have more than 800 guys who are special athletes who are all drug-tested. And the urine testing is sufficient that you wont miss anything, especially with performance-enhancing drugs. So, yes, I believe that the urine testing is more than sufficient for boxing. If youre using steroids, its going to come up for sure in urine. Theres no way its going to get through the liver and the kidney without being detected."
Source:Fanhouse.
Anachotaka Floyd ni kitu ambacho hakipo kwa taratibu na sheria za ngumi za Nevada, who does he think he is hadi aamue kutunga sheria mpya? kuanza kuleta mambo ambayo yako nje ya taratatibu. He is a challenger in this and not the champion, anatafuta sababu za kutufanya tusione huu mpambano.
Huyu ni daktari mmoja na hayo ni maoni yake. Unaweza ukampata daktari mwingine ukapata maoni tofauti kabisa.
Heheheheee...Money Mayweather hataki kutunga sheria. Hata kama wewe unaona anataka kutunga sheria lakini si na yeye atakuwa mshiriki wa hivyo vipimo au yeye kasema hataki kushiriki?
Eti he is the challenger...lol...I thought it is Manny who wants to fight him. And what challenger gets 50% of the purse? Where have you seen that? He must be one hell of challenger to split the purse 50-50!
Manny needs to man up and submit to the test if he has nothing to hide. Plain and simple.
MTM, I think Floyd is just trying to mess Manny up. Kuna tetesi pia kuwa camp yake walikuwa wanataka gloves zitakazotumika ziwe nzito na fight ifanyike kwenye heavier weight. Nadhani ni kitu cha kawaida kama mwana michezo yeyeote atapanda chati ghafla watu kuanza kumzushia kuwa anatumia madawa, na kwenye hii case wengi tutaanza kumsuspect Manny kwa kutokua willing kufanya hizo random tests. Mayweather Sr alianza kumtuhumu Manny tangu hata kabla ya ile fight ya Cotto.
Roach amesema kwamba Manny doesnt respond well everytime he gets his blood drawn and it take him up 3 days to get back to his normal 100%. Sasa utaratibu wa testing anaoutaka Floyds utaruhusu jamaa atolewe damu hata 20 times before the fight! Manny yuko tayari kufanyiwa blood test mara tatu, mara ya kwanza ile wiki ya kutangazwa pambano, ya pili siku 30 kabla ya pambano na ya tatu baada tu ya pambano- na huu ndio utaratibu wa siku zote kwa kila boxer. na zaidi ya hizo tests tatu, anakubalia kufanyiwa random tests za mkojo kwa kadri wahusika watakavyotaka. Sidhani kwa mtaji huu kama kuna anachotumia kitakosa kuonekana.
Naona madai ya Floyd ni kichekesho tu kwa kuwa ni sawa na mwanariadha aibuke tu na kusema "Nataka Usain Bolt apimwe damu mara saba kwa kuwa ana speed ya ajabu" au Mcheza tennis aseme "Siwezi kucheza na Nadal hadi apimwe damu mara kumi kwa kuwa msuli wake ni mkubwa sana". Hizi tests zimekwepo siku zote na kuna vyombo husika ambavyo ndo vinatunga taratibu na sheria za jinsi gani hizo test zifanywe, hakuna suala la kusikiliza anachotaka individual boxer. Na ili utaratibu mzima wa kufanyiana hizi test uwe fair ni lazima uwe the same for everybody, mbona Floyd hakuomba huo utaratibu alipokuwa anapigana na Marquez ambaye alidai kuwa ni bora kuliko Manny?
Halafu pia kuna suala la pride hapa, hawa ni arguably the top two boxers in the world lakini kwa sasa Manny is the Champ and on top of the pound for pound kings, sasa anaona hana haja ya kufuata matakwa ya 'challenger' hapa,hawezi kumuachia amburuze, always champions ndio wanadictate terms and conditions za mpambano. Mwanzoni Floyd alikuwa hata mshiko anataka achuke 60% amuachie Manny 40%, jamaa akamuambia if its not 50%-50% -forget about it.
He is running scared or trying to play mind games like Sir Fergie.....
Mkuu kama utakuwa umewasoma vizuri....Manny camp wamekasirika kwa sababu jamaa (Mayweather) ndio ameraise hiyo ishu...kama ingekuwa ni normal procedure wala kusingekuwa na mikwaruzo....