Mayweather vs McGregor

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,306
Wakuu mnaelezeaje huu mpambano. Kwangu naona huyu mhairishi hataweza kunyoosha mkono kuomba mpambano uishe labda atokee mtu wa kumsaidia kurusha taulo ulingoni kumwokoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAYWEATHER Ni Bondia mzuri ila kwa haya mapambano yake ya kuelekea kustaafu naona kama anachagua wapinzani ambao hawawezi kumuharibia rekodi zake hivi. Anyway ngoja tusubirie watabe wa "masumbwi" waje watupe records za kila mmoja wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakuu mnaelezeaje huu mpambano. Kwangu naona huyu mhairishi hataweza kunyoosha mkono kuomba mpambano uishe labda atokee mtu wa kumsaidia kurusha taulo ulingoni kumwokoa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hataomba po ila atachanginyikiwa sana, Mayweather hana ngumi nzito za kumuumiza jamaa ila zitakua zinaingia tu huku yeye akipiga upepo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom