Mayunga yuo wapi? Nini kimemsibu kisanii?

Usikute sponsor wake ni mwanaume mwenye wadhifa maana jamii ya Sasa imejaa uozo sana
 
Jamaa alishinda shindano lilioandaliwa na Akon afrika akala mils sijui 100 akafanya ngoma naye miaka kadhaa nyuma lakini wabongo kama hatuoni vile
Alishinda milioni 50 hapa Bongo, kisha akaenda hatua inayofuata ambapo alishinda record deal, mentorship na zawadi inayozidi dola laki 5 za kimarekani (mwaka 2015)

Sasa hapo cash alikusanya ni nzuri coz kivyovyote vile haipungui m kama 300 hivi za kibongo ukiachana na hizo gharama nyingine
 
alishinda milioni 50 hapa Bongo, kisha akaenda hatua inayofuata ambapo alishinda record deal, mentorship na zawadi inayozidi dola laki 5 za kimarekani (mwaka 2015) sasa hapo cash alikusanya ni nzuri coz kivyovyote vile haipungui m kama 300 hivi za kibongo ukiachana na hizo gharama nyingine
Mkuu dolar lako tano kwa exchange rate ya sasa ni aboit bilioni 1.1 za kibongo, that cannot be true.
 
Namkumbuka huyu jamaa #mayunga
Miaka ya nyuma kidogo huyu jamaa alishinda miliono 500 ila iyo ela ni alipewa robo nyingine ilienda kwenye Mambo ya mziki wake
 
Ila watu wa Jf mmesha changanyikiwa saa kila kitu tafta pesa, ujinga gani huo, mwenye pesa hafi, kwamba mwenye pesa hazeheki, mwenye pesa haendi chooni kukata gogo kama wengine, acheni ushamba

Tafuta pesa upunguze makasiriko.
 
Hizo bata ziko wapi? Ni hizo picha mbili za location moja.!

Mayunga hana maajabu yoyote kwenye muziki, kufanya ngoma na Akon tena kipindi Akon alishakwisha sio kigezo…. kwa maana kuna watu wameimba na R Kelly, Ne-Yo, Rick Ross na hakuna lolote.

Mayunga ana stress tu kama yule Hawa wa Nitarejea, labda kama anaishi huko Marekani kwa kuimba kwenye besidei za watoto kama Damian Soul.
 
Alishinda milioni 50 hapa Bongo, kisha akaenda hatua inayofuata ambapo alishinda record deal, mentorship na zawadi inayozidi dola laki 5 za kimarekani (mwaka 2015)

Sasa hapo cash alikusanya ni nzuri coz kivyovyote vile haipungui m kama 300 hivi za kibongo ukiachana na hizo gharama nyingine
Palefu ,..na naipenda ile nyimbo yake sana.
 
Hizo bata ziko wapi? Ni hizo picha mbili za location moja.!

Mayunga hana maajabu yoyote kwenye muziki, kufanya ngoma na Akon tena kipindi Akon alishakwisha sio kigezo…. kwa maana kuna watu wameimba na R Kelly, Ne-Yo, Rick Ross na hakuna lolote.

Mayunga ana stress tu kama yule Hawa wa Nitarejea, labda kama anaishi huko Marekani kwa kuimba kwenye besidei za watoto kama Damian Soul.
khaaaaah
 
Vijana wakishajiona au wakisifiwa kuwa wao ni mahandsome basi wengi hukimbilia kwenye muziki au uigizaji

Wanasahau hizo industries zinahitaji vipaji vikubwa watu wanapenda vitu vizuri siyo sura ya mtu
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom