Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea
Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
Kipindi kile hata wenyewe walikuwa wanajua mkali nani. Ndio maana ulikuwa ukiwauliza kama wewe ndio kocha kati ya Mayele na Mpole utamsajili nani? Walikuwa wanajibu utajua wewe.
Ile safari ya mpole kutoka geita kuelekea Congo haikuwa sahihi kabisa ni bora angeenda hata hizi team za kariako maana zimukuwa zinamhitaji sana kipindi kile
Ile safari ya mpole kutoka geita kuelekea Congo haikuwa sahihi kabisa ni bora angeenda hata hizi team za kariako maana zimukuwa zinamhitaji sana kipindi kile