Mayele kaonewa zaidi na waamuzi this season

canfi

JF-Expert Member
Jun 26, 2022
1,240
1,279
Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika.

Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana
 
Nimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.

Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.

Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?

Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.

Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.

Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
 
Tutolee hii pumba basi,

Kwani wewe umeona error inayomuhusu mayele tu ktk ligi hii?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Imeisha hiyo
Screenshot_20220630-034611.jpg
 
Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika.

Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana
Pia na coast alikuwa amepiga halt trick...lines man akachomoa!
 
Kazi ya kuchunga ng'ombe imemgharimu kwa wazee wa uto wanasemaje ? Watakisomea dua kiatu cha mpole
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.

Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.

Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?

Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.

Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.

Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
Mayele amewanyima sana raha wanasimba 🤣🤣🤣
 
Well said
 
Chief yaani unataka tutetee vibovu sababu tu ya uzalendo...kumbuka kuna michezo ambayo haingaliii nani ni nani..ebu badilika kidogo mkuu George mpole kafanya vyema msimu huu ila sio sababu ya kutufanya tuwatendee wachezaji wengine ndivyo sivyo ......KAMA UNAJIELEWA UTANIELEWA
 
Back
Top Bottom