cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,528
- 201,698
Msimu mzima.Bilakufungwa msimu mzima zilikuwa metch ngapi
Msimu mzima.Bilakufungwa msimu mzima zilikuwa metch ngapi
Kwann mlishiriki wakati hamna shidaTulishatwaa mara 4 mfululizo, wala hatuna shida. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unajua unachokizungumza?Kwann mlishiriki wakati hamna shida
Mashabiki wa kuazima wa coastal mnaendeeaje! 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeni kwa kuteseka. Mayeleee ni Nkane wa kigeni. Woiiiiiih