Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Upo sahihi kabisa mkuu.Mkuu Ringo Edmund, Mh. William Mgimwa ni mbunge wa jimbo la Karenga- Iringa si mbunge wa kuteuliwa hivyo alishaapa kiapo chake cha ubunge siku nyingi, hivyo anauhalali pande zote kuutumikia uwaziri wa fedha mkuu
Mkuu Ringo Edmund, Mh. William Mgimwa ni mbunge wa jimbo la Karenga- Iringa si mbunge wa kuteuliwa hivyo alishaapa kiapo chake cha ubunge siku nyingi, hivyo anauhalali pande zote kuutumikia uwaziri wa fedha mkuu
Sasa huyu jamaa mbona leo alikuwa pale Tanesco makao makuu kujitambulisha kwa menejiment ya tanesco na wafanyakazi wake?[/QUOTE]sorry, nilikuwa namzungumzia sospeter muhongo kaka.
Huogopi tena Mambumbu kukwambia umejiuliza mwenyewe kwenye red hapo halafu ukaja kujijibu mwenyewe huku chini!!??.....teh!teh! teh! teh! teh! teh!Sasa huyu jamaa mbona leo alikuwa pale Tanesco makao makuu kujitambulisha kwa menejiment ya tanesco na wafanyakazi wake?
kaka nielewe huyu jamaa si waziri kwa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania na hapaswi kulipwa mshahara wa waziri mpaka atakapokuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania.
Huogopi tena Mambumbu kukwambia umejiuliza mwenyewe kwenye red hapo halafu ukaja kujijibu mwenyewe huku chini!!??.....teh!teh! teh! teh! teh! teh!
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu!
Mkuu Ringo Edmund, huwezi amini hili bandiko lako la 2012 ndio nimeliona leo kibahati tuu kufuatia bandiko jingine fulani.Naangalia star tv tuongee asubuhi naona pascal mayalla amenikuna kweli kwa sababu kila siku nilikuwa sipati usingizi kwa sababu nilikuwa namfikiria rais kuwa ana mamlaka ya kuteua mbunge na kumpa uwaziri hapohapo?
Jibu nililopata kuwa wizara bado hazijapata mawaziri ila zimepata viongozi na katiba haiwatambui kwa hiyo kazi zote wanazofanya kwa niaba ya waziri ni batili.
Wiliam mgimwa haruhusiwi kufanya kazi yoyote kwa niaba ya waziri wa fedha wa tanzania.
Pascall big up simamia ukweli na taifa litakukumbuka baadae.
Mkuu Kaa la Moto, ni kweli tulitofautiana na Ansbert kwenye eneo hili, mimi nilisisitiza Kikwete apongezwe kwa mazuri yake na kulaumiwa kwa mabaya yake, nikasisitiza haiwezekani iwe ni kulaumu tuu, mwenzangu akadai hayo mazuri ni katika kutimiza wajibu wake!, hoja yangu mimi ni kuwa na shukrani, hata kama ni kutimiza wajibu wake, kama ametimiza vizuri anastahili pongezi.Paskali ametoa ufafanuzi mzuri lakini bado Ngurumo kamfunika kwa kitu kimoja. 'utetezi wake wa jinsi alivyomsifu Kikwete jf lakini watu wakampiga chini.
Ngurumo akuuma maneno kwa kutoboa kwamba kwa maoni yake Kikwete hajafanya zuri lolote. teh teh teh teh
Mkuu Jana wakati unamuulizia Kailima swali kuhusu vituo ambavyo vilivamiwa wakati wanahesabau kura naona uliegemea upande mmoja kwa sababu hata ccm nao walikuwa wanahesabau lakini wao hawakuvamiwa, halafu wewe ukatoa conclusion ya moja kwa moja kwamba eti wale wanaosema wana Rais wao wa mioyo waache kwa sababu uchaguzi ulikuwa huru na haki..... Kwa kweli hapa hukutenda hakiMkuu Ringo Edmund, huwezi amini hili bandiko lako la 2012 ndio nimeliona leo kibahati tuu kufuatia bandiko jingine fulani.
Nadhani hukunielewa vizuri, kama ili kwa mbunge, baada ya kuchaguliwa huwa ni mbunge mteule hadi atakapoapishwa ndipo anakuwa na mamlaka ya kufanya kazi za kibunge!. Vivyo hivyo kwa mawaziri, wakiishateuliwa wanakuwa ni mawaziri wateule, hawawezi kufanya majukumu rasmi ya uwaziri kabla hawajaapishwa!. Kutokuapishwa hakumzuii kufanya lolote ila anakuwa sio rasmi!.
Paskali
Mkuu Edi Ringo, mimi na Ngurrumo letu moja kwenye kulaumu kule watawala wanaposhindwa, ila pia nikasisitiza wanapofanya vizuri, tuwapongeze!, hata katika ngazi ya familia, kuna wajibu tunatimiza na tunapeanza sio tuu asante hata tujizawadi!. Kila mtu anastahili pongezi pale anapofanya vizuri hata kama jambo hilo ni wajibu wake!.Amenifurahisha ngurumo alipoambiwa na mayalla kuwa rais ana mazuri ya kusifiwa majibu yake hana sababu ya kumsifia rais kwa kazi aliyoomba mwenyewe ila atamlaumu kwa kazi aliyiomba na kushindwa kuifanya.